Hakan Calhanoglu amemsifu Zlatan Ibrahimovic kwa kusema ameleta matokeo chanya na kuirudisha ile AC Milan halisi. Tangu msimu urejee mwezi uliyopita Milan hawajafungwa michezo 11 katika michuano yote na kukaa …
Makala nyingine
Wilfried Zaha “yuko tayari kuondoka” Crystal Palace, meneja wa Crystal Palace Roy Hodgson anasema… Winga huyo wa kimataifa wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 27 alihusishwa na kutakiwa na …
Wakati Juventus wakiwa tayari wametangaza ubingwa huku wakiwa na michezo miwili mkononi, bado vita ya kumaliza nafasi za juu Serie A inazidi kupamba moto. Inter walikaa katika nafasi ya pili …
Klabu ya PSG imethibitisha kuwa itamkosa mshambuliaji wake nyota wa kifaransa, Kylian Mbappe kwa wiki zisizopungua tatu. Kylian Mbappe aliumia katika mchezo wa fainali ya kombe la Ufaransa (coupe de …
Unai Emery amesema ana ndoto za kutwaa ubingwa akiwa na Villarreal baada ya kupata dili ya miaka mitatu kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo. Bosi huyo wa zamani wa Arsenal, …
Kiungo wa kati wa timu ya Shanghai SIPG Oscar anapendelea kuichezea timu ya taifa ya China kama FIFA watamruhusu kubadili Utii huo wa kimataifa. Mchezaji huyo wa zamani wa Chelsea …
Jadon Sancho anatarajia kurudi mazoezini wiki hii hali ya kuwa kuna mazungumzo mapya ya uwezekano wa kuondoka kwenda Manchester United. Nyota huyo wa Uingereza amekuwa akihusishwa na kuhamia na Mashetani …
Klabu ya Yanga imetangaza kuachana na aliyekuwa kocha wao Luc Eymael kutoka na kutoa kauli za kibaguzi kwa mashabiki wa soka nchini baada ya mchezo wa mwisho wa ligi kuu …
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Mo Dewji leo ameomba watu kumuunga mkono kumshawishi Raisi John Magufuli kuwa Uwanja wa Taifa kuitwa Benjamin William Mkapa kama sehemu ya …
Jan Vertonghen amethibitisha kuwa anaondoka katika timu ya Tottenham.Mchezaji huyo anayecheza katika nafasi ya ulinzi hajapewa dili ya kusaini mkataba mpya na Spurs kwa maana hiyo ataondoka klabuni hapo baada …
Adam Lallana atajiunga na Klabu ya Brighton kwa mkataba wa miaka tatu kufuatia kumalizika kwa mkataba wake huko Liverpool, huku uhamisho huo ikitarajiwa kuthibitishwa mapema wiki ijayo. Klabu hiyo chini …
Winga kinda wa Klabu ya Arsenal, Bukayo Saka amesema kuwa itakuwa changamoto kubwa kuchagua kati ya England au Nigeria, endapo utafika wakati ya kuchagua timu ya taifa ya kuiwakilisha kimataifa. …
Marouane Fellaini amefunga Hat-trick katika mechi yake ya kwanza katika ligi ya China tangu apone kutokana na kuugua Corona. Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United anayecheza nafasi ya kiungo …
Meneja wa timu ya Tottenham Jose Mourinho anaamini kupata mafanikio kama ya mabingwa wa Champions League Liverpool imekuwa ni ngumu kutokana na kuongezeka kwa viwango vya ushindani katika Premier League. …
Chelsea wanajua ushindi au sare dhidi ya Wolves kwenye mchezo wa leo wa kukamilisha msimu itawapa nafasi ya moja kwa moja kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya. Blues walipoteza mbele ya …
Kocha mkuu wa Inter Milan Antonio Conte amezungumza uwezekano wa nyota wa Barcelona Lionel Messi kuhamia katika ligi ya Italia. Msimu wa 2019-20 kumekuwa na tetesi za kundoka kwa mchezaji …
Ilimchukua wiki tatu kuingia wavuni kwa mara ya kwanza, Baada ya miaka mitatu ya ‘mvua na jua’ akiwa na Udinese, Bruno alijiunga na Sampdoria August 2016 kwa mkopo. Hatimae June …
Baada ya kocha wa Chelsea Frank Lampard kudai kwanba Liverpool wana kiburi, Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amemuambia ajifunze kuficha hisia zake baada ya mchezo kumalizika. Klopp amesema Lampard alivuka …
Klabu yq Ligue 1 nchini Ufaransa, RC Lens, walituma ofa rasmi ya kumsajili mshambuliaji wa Klabu ya TP Mazembe, Jackson Muleka lakini ofa yao ilipigwa chini baada ya kuwa ni …
Kocha mkuu wa Al Sadd Xavi hatokuepo uwanjani kwenye mchezo dhidi ya Al Khor katika mashindano ya Qatar Stars League baada ya kupima na kukutwa na maambukizi ya virusi vya …

