Juventus wapo katika mipango ya kutaka kumchukua aliyekuwa kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino ili kuchukua nafasi ya Maurizio Sarri ndani ya klabu hiyo inayotumikiwa na mchezaji nyota Ronaldo . Taarifa …
Makala nyingine
Frank Lampard amepuuza kuendelea na mchakato wa kunasa saini za wachezaji wakati wa dirisha la usajili ikiwa klabu hiyo ya Chelsea ilikuwa karibu kumsajili Kai Havertz. The Blues wakiwa wamekamilisha …
Aston Villa kuendelea na vita ya kufa na kupona kupigania kubaki Ligi Kuu wakati wanapowakaribisha Gunners huko Villa Park saa 04:15 usiku Villa wako nyuma alama tatu kutoka kwenye eneo …
Cristiano Ronaldo ameongeza historia nyingine na kuendelea kuipamba stori ya maisha yake ya soka kwa kuwa mchezaji mwenye kasi zaidi kwa kufikisha goli 50 ndani ya ligi ya Serie A …
Eric Dier amesaini kandarasi mpya kuendelea kubaki katika klabu ya Tottenham mpaka mwaka 2024. Mchezaji huyo wa England alikuwa amebakisha si zaidi ya mwaka mmoja katika mkataba wake uliyopita na …
Watford wamemtimua Kocha wao, Nigel Pearson kukiwa na michezo miwili ya msimu wa Premier League iliyobaki, Klabu hiyo na pointi tatu juu ya eneo la kushuka Daraja. Kocha Mkuu wa …
Manchester City wako karibu kufikia makubaliano ya uhamisho wa Beki, Nathan Aké kutoka Bournemouth. Kocha wa City, Pep Guardiola anataka kujenga upya eneo la beki kufuatia kusuasua kwa eneo hilo, …
Santi Cazorla amekubali kujiunga na klabu ya Al Sadd baada ya kandarasi yake na Villarreal kufikia tamati. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 35 hivi karibuni ataelekea mjini Doha na …
Vecino mwenye umri wa miaka 28 amekosa michezo mitatu kufuatia kuwa na majeraha ya goti, na kwa sasa anatizamiwa kwenda kwaajili ya kupigwa kisu jijini Barcelona siku ya Jumanne. Inter …
Wakati Ligi Kuu ya Uingereza EPL ikielekea ukingoni, ikiwa takribani imesalia mechi moja na kwa baadhi ya timu zimesalia mbili na Bingwa akiwa tayari amejulikana lakini kukiwa kuna mvutano katika …
Hakuna tuzo za Ballon d’Or mwaka 2020 kutokana na “upungufu wa hali ya kiusawa,” France Football imetangaza hivyo. Chapisho la Ufaransa, ambalo inaunganisha tuzo za kifahari kwa mpira wa miguu …
Siku ile Bolton anawashusha daraja, dunia ilimsikia Ricky Allman akisema hatakaa aangalie epl tena mpaka siku mtakapopanda. Alikuwa mtoto wa miaka 11 tu ila aliongea kwa hisia kali akimwaga machozi. …
Lionel Messi ameweka rekodi mpya ya Kutoa Assists nyingi katika La Liga katika msimu mmoja, akimzidi mchezaji mwenzake wa zamani wa timu hapo Barcelona, Xavi katika mchakato huo. Messi alitoa …
Mlinzi wa Manchester United Eric Bailly ametolewa Hospitali kufuatia kupata majaeraha ya kichwa wakati wa mchezo wa nusu fainali ya FA Cup dhidi ya Chelsea siku ya Jumapili na Man …
Unakumbuka Harry Kane alipoanza kufunga na kudhaniwa atakuwa mchezaji wa msimu mmoja tu? Haikuwa hivo, tangu alipoanza kutisha kwenye msimu wake wa kwanza, hajawahi kuporomoka uwezo tena. Wala haoneshi dalili …
Zinedine Zidane amesisitiza hakuwahi kuwa Maalumu “special”,amesema alikuwa na bahati tu kuinoa Madrid. Zidane amepelekea Madrid kufanikiwa kutwaa taji la LaLiga msimu likiwa ni taji la 11 akiwa kama kocha …
Joao Felix amejumuishwa kwenye kikosi cha Atletico Madrid kwenye mchezo wa leo wa kumaliza msimu wa Laliga dhidi ya Real Sociedad baada ya kukaa nje ya dimba kwa muda kufuatia …
Kocha mkuu wa Tottenham Jose Mourinho anaamini kwamba anawekwa katika hatua tofauti ya matarajio kwa enzi hizi, alilalamika: “Watu wana nitazama kwa macho ya tofauti.” Spurs walikuwa katika nafasi ya …
KOCHA Mkuu wa As Vita, Frolent Ibenge ambaye inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za Simba inatajwa kuwa kocha huyo ataambatana na kiungo wa timu yake, Jeremy Mumbere ambaye amesema kuwa …
Leeds United tayari wamepanda Ligi Kuu ya Uingereza na historia inaonyesha mara ya mwisho ya wao kushiriki ni msimu 2003/04. Leed United wana taji la Ligi ya Uingereza wakati huo …

