Zidane - Mimi Sio "Special One" Ni Bahati Tu.

Zinedine Zidane amesisitiza hakuwahi kuwa Maalumu “special”,amesema alikuwa na bahati tu kuinoa Madrid.

Zidane amepelekea Madrid kufanikiwa kutwaa taji la LaLiga msimu likiwa ni taji la 11 akiwa kama kocha wa wababe hao wa Hispania .

Lakini Mfaransa huyo amekataa maoni yoyote ya kuwa anajihisi kama “Special One” jina mabalo Jose Mourinho alikuwa akilitumia katika kujitambulisha.

“Hapana, hapana sijihisi kama hivyo. Najiona nina bahati kuwa hapa na wachezaji hawa kila siku,” Zidane alisema kwenye mkutano wa habari.

“Na kuwa kwenye hii klabu, ndiyo maana nafurahia sana kila siku. Sababu siku moja kila kitu kita isha, kama ilivyo wahi kutokea,lakini kwa sasa nafaurahia sana.

Madrid waliweza kutwaa taji la Laliga mara ya mwisho ilikuwa msimu wa 2016-2017 kabla ya kufanikiwa tena msimu huu, na kipindi hicho Christiano Ronaldo aliweza kuwasaidia kwa kiasi kikubwa.

Kuelekea katika mwisho wa kumaliza ligi hiyo kwa michezo yote itakayo chezwa siku ya Jumapili Real Madrid watakuwa ugenini kukabiliana na Leganes waliopo kwenye mstari wa kushuka daraja wakiwa na alama 35 katika michezo 37 nyuma ya Celta Vigo wenye alama 36

Ratiba ya LaLiga kumaliza msimu wa 2019-2020 siku ya JumapiliĀ 

Alaves vs BarcelonaĀ 

Real Valladolid vs Real BetisĀ 

Villarreal vs EibarĀ  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā  Ā 

Atletico Madrid vs Real Sociedad

Espanyol vs Celta VigoĀ 

Granada vs Athletic Bilbao

Leganes vs Real Madrid

Levante vs Getafe

Osasuna vs Mallorca

Sevilla vs Valencia


Kuna ofa kibao unazaofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu

BonyezaĀ HAPAĀ Kujiunga.

50 Komentara

    Zidane ni kocha ambae kaipa mataji mengi madrid pia ameipa champion league mara 3 mfululizo na ni kocha ambae anaijua kazi yake

    Jibu

    Zidane uko vizuri sana.

    Jibu

    ni kocha mzuri sana Zidane

    Jibu

    Zidane jembe nikocha mwenye sifa zake

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Kocha mzuri sn

    Jibu

    Zidane kocha anejielewa

    Jibu

    Kocha mzur na atak kujisifia mafanikio yak

    Jibu

    Unastahir kwakwel

    Jibu

    Zidane ni kocha mzur

    Jibu

    Ni kocha ambaye anajielewa

    Jibu

    Zidane anajua nn anatakiwa afanye pindi timu ikiwa inacheza kihalisia ni kocha mzuri

    Jibu

    Amna zidane huko Vzr ni kocha ambaye hanayejituma

    Jibu

    Ameona kitu sababu Kuna makocha wamejiita hivyo mpaka Sasa kila timu wanayoenda kufundisha wamwfanya vibaya sanaa

    Jibu

    hana makuu safi zizou

    Jibu

    Koacha fundi asiye na makuu# meridianbettz

    Jibu

    Maoni:kweli ni bahati tu

    Jibu

    Namkubal zana zidane

    Jibu

    Zidane yuko bomba sana namkubali

    Jibu

    Zidane ni kocha mzuri

    Jibu

    Zidane ni kocha bora sana..special one lina mfaa sana

    Jibu

    Kwa kipindi hichi alicho kua madridi zidane lazima hataonekana ni special one tu kwa uwezo wake na juudi zake alizo pelekea Madrid kufanikiwa kutwaa taji la laliga ikiwa kama taji la 11 akiwa kocha was wababe hapo hispania

    Jibu

    Zidane Mie namkubali sana kurudi tu kombe#Meridianbettz

    Jibu

    Zidane kwa madrid atabaki kuwa special tu ameifanyia makubwa

    Jibu

    Zidane ni kocha mzuri#Meridianbettz

    Jibu

    Zinade anajua sana mpira namkubali sana#meridianbettz

    Jibu

    Zidane ni kocha mzuri ambaye anajituma sana kwa wachezaji kuwabadilishia mbinu mbali mbali mpaka kupata ubigwa lakini zinade pia anamapungufu yake kama akiamua usicheze uwanjani kwa sababu zake kweli huhateza kwa sababu tu umemuuzi akijisahau kama pia unaumuhimu lakini pia ni mzuri mana amewatetea vijana wake ukiangalia kwa kipa alivyosema lakini alijua kuwa alikosea na akaweza kufafanua kuwa ni kipa mzuri na anajituma hivyo ni kocha mzuri sana asiye tabirika.meridianbettz

    Jibu

    Ni kocha mnzur sanaa

    Jibu

    Zidane yupo sawa kabisa na anachokisema ikiwa anahitaji kujifunza zaidi ni kocha ambae anajua kile anachotakiwa kukifanya ,kwahiyo kisema yeye sio Special one anamanisha anachosema

    Jibu

    Your so special Zidane

    Jibu

    Zidane yupo sahii kocha uyo anacho kisema nikocha anaejua nn anakifanya kwenye kaz yake

    Jibu

    Zidane ni kocha nzuri

    Jibu

    Nikocha mzuri sanaaa

    Jibu

    Zidane ni Kocha mzuri na mwenye mbinu nzuri, Nimemkubali baada ya kusimama imara na kujaribu kukirudisha kikosi chake kwenye hadhi ya ushindani hasa kwenye Laliga baada ya kusuasua kwa muda mrefu bado natazama kuona kama atafanya maajabu kwenye UEFA.

    Jibu

    Inapendeza sana mtu anafanya vizuri lakini hajisifii

    Jibu

    Ni mtazamo wake ila me namkubal sana zidane

    Jibu

    Ni kocha mzuri sana

    Jibu

    Kwa wachezaji waliopo kwasasa Real Madrid na kupata mafanikio haya ni bahati sana#meridianbettz

    Jibu

    Zidane ni kocha mzuri sana

    Jibu

    Zidane amejua kuitendea haki Madrid amewafikisha sehemu nzuri sana

    Jibu

    Zidane Ana karama ya ukocha maana kuna makocha wakongwe hadi sasa hakuna mwenye mafanikio Kama ya zidane.

    Jibu

    Kocha ni mnzurii

    Jibu

    Binafsi sioni kitu bora kwa zidane naona bahati na individual skills za mchezaji mmoja mmoja zikiiokoa team tofauti na klopp na Pep

    Jibu

    Zidane ni Koch muzuri mwenye viwango vyukufundisha anapokuwa anafundisha

    Jibu

    Zidane ni kocha mzur Sana

    Jibu

    Kweli kabisa zidane

    Jibu

    ni kweli sio vizuri kujikweza .subiri watu wakusifie.ww ni special one sema tu hutaki kujisifia

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Safi, asijivune bali ajishushe kwaajili ya mafanikio yake

    Jibu

    Kweli kabisa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.