Jorge Jesus amechaguliwa kuwa kocha mkuu wa Benifica kwa mara ya pili baada ya kuachana na mabingwa wa Brazil na Amerika ya Kusini klabu ya Flamengo.
Benifica wamefikia maamuzi ya kumrudia tena mkongwe huyo wa Ureno Jesus baada msimu huu kutofanya vizuri sana na kuzidi na mahasimu wao Fc Porto katika ligi ya Primiera ambao wapo kileleni mwa ligi hiyo.
Flamengo walikuwa na tumaini la kumbakisha Jesus, ambaye amepelekea kutwaa mataji kama Campeonato Brasileiro, Copa Libertadores na Recopa Sudamericana tangu atue klabuni hapo mwaka uliyopita.
Walakini, Jesus amejiunga tena na Benifica,ammbako kipindi cha nyuma alitumia miaka sita kuifundisha timu hyo na kushinda vikombe vitatu vya ligi pamoja na mafanikio mengine akiwa Lisbon.
“Licha ya kujutia kumpoteza kocha wao wa ushindi, Flamengo tunaheshimu hayo maamuzi yake binafsi,” Flamengo walisema hayo katika melezo.
“Kwa niaba ya bodi na mashabiki wa timu yetu tunatoa shukrani zetu za dhati kwa kocha Jorge Jesus, na kamati yake kwa kila kitu ambacho ameifanyia timu yetu na tunamtakia kila la kheri na mafanikio kama aliyoyapata akiwa hapa Flamengo.
Baada ya kushinda taji la pili la Libertadores tangu mwaka 1981 mwezi Novemba Flamengo walishinda Ubingwa wa Brazil kwa mara ya saba.
Jesus mwenye umri wa miaka 65 aliandika kupitia mtandao wa instagram “Ilikuwa ni miezi 13 yenye umoja kamilifu, kipindi ambacho nilikuwa na furaha sana, nilijihisi niko nyumbani, na tumepata mafaniko yasiyo sahaulika.Lakini leo tumekutana na bodi ya Flamengo na tumefikia maamuzi ya kumaliza uhusiano wetu,bila kuchukiana wala kushushiana heshima.
Kuna ofa kibao unazaofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu
Bonyeza HAPA Kujiunga.
mwajumah
Namkubali sana uyu kocha
Neema juma
Sawaa kama karudii ila jamaa kanunaa kinomaa duu
Genia Sikaluzwe
Jorge Jesus ni kocha mazuri sana
Zeiyana
Jorge Jesus ni kocha mwenye mbinu zake kutoka na histor yake alitumia nguvu zake za ziada amabyo amepelekea kutwaa mataji kama campeonato,brasileiro,libertadires na Recopa sudamericana tutokana na kutokufanya vizuri sana ligi ya benifica na fc Porto lakini bado klabu ya benifica imetambua humuhimu wake
Angelina
Ni kocha mzuri naamini ataleta mabadiliko
Ernest
Kila la kheri Jorge Jesus katika maisha yako mapya na Benifica
SADICK
Benfica wameona ufalme wao unatishwa na Porto wameamua kuleta Kocha mwenye mafanikio#meridianbettz
Elika
Kila la kheri kwake…natumai atafanya vizuri zaidi
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana namkuba kocha Jorge Jesus nikocha mwenye uwerewa nakujua Nini anakifanya Kira laheri kocha kwenye maisha yako mapya
caroline
jorge jesus ni kocha mzuri ataleta mafanikio makubwa kwa benfica
Samira
Kila lakheli jorge
felister
nakutakia mafanikio mema katika safari yako mpya Jorge
aisha
Kila la kheri jorge jesus
Fatina mfingi
Ni kocha mnzur sana
Dorophina
Jesus yupo vizuri naamini ataleta mafanikio benifica
Janeflora malisa
Atalet mafanikio
Magdalena
Benifica wamepata kocha mzuri sana
Isaya massawe
Pongezi kwake inaonesha ni jinsi gani wameikibali kazi take mpaka kufikia kumrudisha kwa Mara nyingine
Rehema
Ni kocha mzuri sn namkubali
Khadija
Namkubali sana huyo kocha#meridianbettz
Furahav
Itakuwa vizuri.
tumaini
Maoni:Nikocha mzuri
David Pere
Ni kocha mzuri sanaa kwao Ndio maana wakaamia kimrudisha Tena
Zuhura omary kindamba
Ni uwamuzi mzuri sana walioufanya wa kumleta kocha mzuri
Shafii
Habari njema kwa benifica Caz Jorge Jesus ni kocha mzoefu na mzuri .
Issa
Jesus rudi nyumbani tena benfica imekuamin waonyeshe kuwa we ni kocha
Gabriel
Habar njema sana 👍
MnonganeJR
Bigup kwake#meridianbettz
Saupha mohamed
Makal iko poa sanaa
Hope mwaikuka
All ze best
Omary lukumbi
Ni kocha mzr tuu
Amiri Kayera
Kila la kher kwake
Povel tz
Gud news
lombo
mamb ni moto na meridianbet
devotha
kila la kheri
Revina
Kila la heri kwa timu ni kocha mzuri sana
Samiah
Kila lakheri
farida ahmadi
Hongera Sana Jorge
Salma
Good
Fatuma kasomo
Kila kheri
Latifa juma mohamed
Kocha mzur Sana kila la kheri
Leonard
Aje alete mafanikio
Tatu
Hugo kocha yupo vizuri
Ester jackson
Benfica ameona kunahatari inakuja wamemleta mtu mahiri sana
Franky
Safiii
warda
Mkali Huyu#Meridianbettz
sabrina
Kocha mkali sana atawafaa
mwakalosi
mafanikio ya nyuma yasimpe jeur shauri yake miaka sita inaweza kugeuka miezi sita au wiki sita tu kibarua kikaota nyasi