Penati Nyingi Kuwahi Kwenye Historia Ya Mpira.

Katika mpira wa miguu kumekuwa na sheria inayotaka matokeo ya mwisho kuamuliwa kwa penati vilevile penati hutolewa mchezaji anapochezewa rafu kwenye boksi la timu pinzani.

Hapa tunaangalia mechi ambazo zimechezwa kwa dakika 90 au (90+30)-120 dk. Na kuisha bila mshindi hivyo kuamuliwa kupigwa penati, Hizi ni miongoni mwa penati nyingi kuwa kupigwa katika historia ya mpira…

1. Liverpool 14 – 13 Middlesbrough
Ni moja kati ya penati nyingi kupigwa katika soka la Uingereza ambapo jumla ya penati 30 zilipigwa katika League Cup.

2. KK Palace 17 – 16 Civics
Hii ilitokea Namibia katika Namibian Cup baada ya droo ya 2-2 ndipo matuta yalipigwa mpaka kufikia idadi hii.

3.Brocenhurst 15 – 14 Andover Town
Hii ilikuwa katika Hampshire Senior Cup baada ya mechi kuisha kwa suluhu ya bila kufungana

4. Ivory Coast 11 – 10 Ghana
Katika African Cup of Nations mwaka 1992 baada ya mechi kuisha bila kufungana kwa takribani dakika 120 ndipo matuta yaliamua Ivory coast kushinda mechi hio na taji hilo kwa mara ya kwanza.

5. Forest Green 10 – 12 Macclesfield
Ilikua katika FA cup ambapo jumla ya penati 22 zilipigwa zilizoamua ushindi kwa Macclesfiel

42 Komentara

    Habar njema sana 👍

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Imeeleweka hii

    Jibu

    Historia mzr

    Jibu

    Nimeielewa Sana hii

    Jibu

    Hapa kweli walikutana mafundi wa kupiga penalty so mchezo kabisa na sijui Kama itawwza kitokea tena katika history ya soka

    Jibu

    Nikwer kabisa

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Kwenye hizi mechi zote walikutana wababe mpaka kupiga penati zote hizo hii sikuwa naijua kabisa

    Jibu

    Ya liverpool ilikuwa kiboko sana

    Jibu

    Nihabari njema sanaaa

    Jibu

    Moja ya mafanikio katika nchi zilizoendelea ni kutunza Kumbukumbu kama hizi. Ni meridianbet pekee tunapata content kama hizi#meridianbettz

    Jibu

    Sikuwahi kulijua hilo,habar njema sana hiyo

    Jibu

    Huyu mtu aliya amua hivi sijui aligundua nini? Kwa mfano kusingekua na penati sijui ingekuaje?

    Jibu

    History imekaa poa

    Jibu

    Ahsante kwa kumbukumbu nzuri

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habari njema#Meridianbettz

    Jibu

    Hisitolia safi nimeilewa

    Jibu

    Historia imekaa bomba

    Jibu

    Ilikuwa hatari sana

    Jibu

    Hii makala tamu sana, Hapa natamani kuona rekodi za Man U kwenye masuala ya Penati

    Jibu

    penalti zinasaidia kweliii

    Jibu

    Nivizuri penati ninzuri penati niukosefu wanizamu wanjani penat ahina kuoneana nikitu sahii kabisa kinacho tolewa nawahamuzi likite ndeka kosa Kama nilakuitaji penat inastairi kupewa penati Kama sio kosa lapenati basi unaweza ukapewa ile yelo kadi kwaio kunamakosa yakupewa kadi

    Jibu

    sio poa

    Jibu

    Habari ambazo sikuzijua kabla pongezi kwenu meridian bet

    Jibu

    Ni kweli kabisa

    Jibu

    Maoni:Good news

    Jibu

    Hahari safi.

    Jibu

    Dah mi napenda sana kufuatilia makala zenu mnatufahamisha mengi

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Nic news

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    gud news

    Jibu

    habari njema

    Jibu

    Habari njema Sana kwetu mashabiki

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Kweli kabisa.

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Asante kwa kunijuza

    Jibu

    Muko na Habari nzuri sana#Meridianbettz

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.