David Silva mchezaji wa kimataifa wa Hispania anaye cheza katika Premier League tayari ameichezea klabu ya Manchester City michezo 432 na kuifungia timu hiyo magoli 77 na kutoa asisti 139 kwenye mashindano yote.
Kiungo huyo alijiunga na Man City mwaka 2010 akitokea klabu Valencia inayo shiriki ligi uya LaLiga kwa dau la €28.75m nakufanikiwa kushinda mataji mbalimbali kama vile Premier League mara nne, FA Cup mara mbili, Kombe la Ligi mara tano na makombe mawili ya Ngao ya Jamii (Community Shields) na hivi karibuni ilitangazwa atahama timu hiyo mwisho wa msimu.

Kwa kuzingatia Assists 10+, David Silva ndiye mchezaji wa tatu mwenye umri mkubwa katika historia ya Premier League kufikisha Assists 10 kwenye msimu mmoja (miaka 34 na siku 189)
Waliomtangulia El Mago ni Dennis Bergkamp mnamo 2004-05 (Miaka 35 na siku 263) na Paolo Di Canio mnamo 2003-04 (miaka 35 siku 262) ..
Baada ya hapo kukamilisha tano bora wanafuatia Steven Gerrard (2013/14 – Miaka 33 na siku 318) pamoja na Didier Drogba (2010/11 – Miaka 33 na siku 40)
David Silva sasa ana Assists 93 ndani ya Premier League akimpita Steven Gerrard kuwa mchezaji wa Sita wa wakati wote kwenye historia ya mashindano… Wachezaji wenye Asisti nyingi ndani ya Premier League..
162- Ryan Giggs
111- Cesc Fabregas
103- Wayne Rooney
102- Frank Lampard
94- Dennis Bergkamp
93- David Silva
92- Steven Gerrard
84- James Milner
80- David Beckham
Kuna ofa kibao unazaofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu
Bonyeza HAPA Kujiunga.


Zeiyana
David Silva humri wake huashaenda hana tena makali
Fatuma kasomo
Gud news
felister
kiungo makini
Lydia Emmanuel Magoti
David Silva nimchezaji mzuri anajua Nini anakifanya nikiungo wazamani anae lisaka kabumbu nakufanya majabu yakila dizain kwake yupo vizuri Silva
MnonganeJR
Kiungo fundi David Silva.. bado uwezo anao bigup d.silva#meridianbettz
Sadick
David Silva anauwezo wa kuendelea kucheza kwa kiwango cha juu#meridianbettz
JULIANA
Kazi na umri
Theckla
Kazi na umri
Fatina mfingi
Asanteh kwa taarifa
Issa
Silva mkali sana
Ester jackson
Apumzike sasa umri sasa hauruhusu
Ernest
David Silva ni Mkongwe anayezeeka na mpira wake mguuni, Huyu jamaa amekuwa na mchango mkubwa sana ndani ya City
Khadija
Apumzike kazi na umri#meridianbettz
Njiku
David silva safii sana anaweza sana
Furahav
Amepata mafanikio mengi sana,yuko vizuri Sana.
Genia Sikaluzwe
Ahsant meridianbet kwa taarifa
Samiah
Mkali sana kijana
Magdalena
David sliva kashazeeka Apumzike tu
caroline
david silva ana mchango mkubwa sana man city
Dorophina
Tnx meridian kwa update za kimichezo
Janeflora malisa
Nice
Revina
Kazi na umri ,ingawa anastaafu na utamu wake ktk soka
farida ahmadi
David Silva ni mchezaji mzuri Sana
Hope mwaikuka
Hv yupo kwel
devotha
Silva ni kiungo mzuri sana
Gabriel
Hili n bonge la mchezaji Silva alianza kucheza mpira wa kulipwa msimu wa 2004-05 katika Ngazi ya pili katika timu ya SD Eibar, akiwa amekopwa kutoka Valencia CF na alicheza mechi 35 katika daraja hilimna kufunga mabao matano. Msimu uliofuatia, alikopwa tena, lakini wakati huu alikopwa na timu ya Celta de Vigo, ambapo alicheza mechi 34, na kufunga mabao manne. Baada ya kucheza mechi mbili ambazo aliingia uwanjani katika dakika za mwisho za mechi hizo, ambapo mechi ya kwanza iliisha kwa Celta de Vigo kushinda 2-0 nyumbani dhidi ya Malaga CF tarehe 28 Agosti 2005. Silva akamaalizia msimu huo kama mshambulizi bora huku timu hii ya Kigalisia ikifuzu katika kombe la UEFA moja kwa moja kutoka daraja la pili.
Katika misimu miwili, alikosa kucheza mechi sita tu ilhali alifunga mabao 14 (bao la kwanza alilifunga tarehe 5 Novemba 2006 katika tasa ya 1-1 ugenini RCD Espanyol).
Baada ya kutocheza kwa muda wa miezi mitatu kutokana na jeraha la kisigino ambapo alifanyiwa upasuaji, Silva alirejea kikosini katikati mwa Desemba.
Hivyo ukimya wake Kuna jambo fulan ila kweny kipengele cha uzoef iko poa sana
Warda
Daaaa Kwa nini haeleweki #Meridianbettz
Shafii
Kiungo bora Sana.
sabrina
David Silva ni bonge la mchezaji
Saupha mohamed
Kiungo bora ila umrii unamtupaa
Omary lukumbi
Mtu hatar sana
David Pere
Kweli bkama haelewwki lakini kiwango bado anacho Ndio maana anaendelea kukipiga mpansasa
Tahiya
Mkongwe mwenye kujua kazi yake
Frank Patrick
Fundi wa Kihispania anayejua kuuamrisha mpira ufuate anachotaka
Elika
Silver apumzike tuu,umri umemtupa mkono
Mwanahamisi
Kiungo bora sana
aisha
Umri wake umeshasogea
Neema juma
Bado yuko na nguvuu aisee
Angelina
Havumi lakin yumo
Isaya massawe
Mchezaji mzuri sana huyu
Rehema
Aisee bado Yuko na nguvu
tumaini
Maoni:David ni kiungo bora
Asia Abdy
Umri nao umeenda
Samira
Kweli yupo kama hayupo umri umeshaenda
Amiri Kayera
Bado msaad mkubw Kwa city
Povel tz
Siva mwamba
lombo
saf
Salma
Yupo vizuri silva
Tatu
Mkali sana kijana