Makala nyingine

Meridianbet USSD wakali wa michezo ya kubashiri hawajakuacha ukae kinyonge wanakupa mchongo wa Bodaboda mpyaaaa!! Zikiwa Zimebaki siku mbili tu ili Meridianbet watoe Bodaboda mpyaaaa kwako wewe unaebashiri na wakali …

FAST BET: Hivi ulishawahi kwenda kwa mangi kununua bidhaa yeyote ukakutana na foleni ya kufa mtu, au ushaenda benki na sehemu zingine zenye huduma kama hizi, asikwambie mtu bana foleni …

Mabingwa wa michezo ya Kubashiri Meridianbet wametoa bonge la zawadi kwa wewe ambae bado hujajiunga na Meridianbet. Sa! sikiliza Meridianbet wanatoa zawadi bomba kabisa ya ukaribisho kwa wewe ambae hujawahi …

AGUERO: Sheria kali za Pep Guardiola kuhusu utimamu wa mwili mara moja zilimfanya Sergio Aguero kuchukuliwa kuwa ‘mnene’ sana kuichezea Manchester City. Mshambuliaji huyo wa zamani wa City alijadili wakati …

KLABU ya watoza Ushuru wa Kinondoni KMC FC wameapa kuharibu rekodi ya kutokufungwa kwa timu ya Yanga SC kwenye Ligi kuu Tanzania bara, ambapo klabu hiyo ya YANGA mpaka sasa …

Paul Scholes amedai kuwa Jurgen Klopp na Jordan Henderson wametofautiana kutokana na kutokuwepo kwa nahodha wa Liverpool kwenye kikosi chao cha kuanzia. Haya yanajiri baada ya Henderson kuwekwa benchi wakati …

MICHO: Jana wakati mchezo wa watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba ulipokuwa ukiendelea, ulishuhudia watu wengi kutoka nchi tofauti wakihudhuria uwanjani kushuhudia mchezo huo wa historia. Miongoni mwa watu …

MCHEZAJI wa Simba Agustine Okrah ambaye ni raia wa Ghana, ametumia mtandao wake wa kijamii kufafanua suala la yeye kushindwa kutengeneza nafasi kwa wachezaji wenzake kwenye mechi ya watani wa …

KLABU ya Simba ilikuwa kwenye hati hati ya kukabiliwa na adhabu kutokana na utovu wa nidhamu kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga uliopigwa jana kwenye dimba la Benjamin Mkapa na …

SHINDA: Ebuana eeeh ule mzigo umeshafika kwao, na huu sio wa mwingine ni kwaajili yako kabisa unakusubiri wewe tu. Meridianbet mabingwa wa hizi kazi hapa Tanzania wamekuja na kitu kipya …

Naam mzigo umeshadondoka kwao, na huu sio wa mwingine ni kwaajili yako kabisa unakusubiri wewe tu. Meridianbet wakongwe wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania wanakupa fursa. Ukiwa na Meridianbet unaweza …

Mchezo wa Yanga Vs Simba unakaribia kuazna huku vikosi vya timu zote vikiwa vimeshatoka. Kwa upande wa wenyeji wa mchezo Yanga golini ataanza 39 Diarra, 21 Djuma Shabani, 15 Kibwana …

Manchester City wanaripotiwa kutaka kumsajili winga wa Napoli Khvicha Kvaratskhelia. Kvaratskhelia, ambaye hajulikani aliko kabla ya msimu huu, amevutia vilabu kadhaa maarufu barani Ulaya baada ya kung’ara katika miezi mitatu …

Keane Amtetea Ronaldo

Roy Keane alimtetea Cristiano Ronaldo Jumamosi usiku, akidai kuwa kuondoka kwake dhidi ya Tottenham kulitokana na kuchanganyikiwa kabisa – ingawa hawezi kuona njia ya kurejea Manchester United kwa nyota huyo …

Mabosi wa soka wa Uingereza (FA) wameshutumu kelele za chuki za ushoga kutoka kwa mashabiki wa Manchester United huko Chelsea huku klabu hiyo ya Stamford Bridge pia ikisisitiza kuwa nyimbo …

1 2 3 4 5 6 7 114 115 116
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.