Makala nyingine

MAMBO ni moto kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2022/23 ambapo tayari ratiba ya msimu mpya imewekwa hadharani huku mchezo wa kwanza wa dabi ya Kariakoo unaozikutanisha timu za Simba na Yanga ukitarajiwa kupigwa Oktoba 23, mwaka huu. Jana Jumatano Uongozi wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), ulitangaza rasmi ratiba hiyo ambapo michezo ya mzunguko wa kwanza inatarajiwa kuanza kupigwa Agosti 15, mwaka huu ambapo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga wanatarajia kuanzia ugenini dhidi ya Polisi Tanzania Agosti 16, mwaka huu. Simba na Azam wao wanatarajia kuanzia michezo yao ya mzunguko wa kwanza nyumbani ambapo Simba watacheza mchezo wa kwanza dhidi ya Geita Gold, huku Azam waliomaliza kwenye nafasi ya tatu wakianzia nyumbani dhidi ya Kagera Sugar. Michezo ya kufungia msimu wa 2022/23 inatarajiwa kupigwa Mei 27, mwaka 2023 na michezo ya kwanza ya mtoano ‘Play Off’ ikipigwa Mei 31, na michezo ya marudiano itapigwa Juni 3, mwaka 2023. CEO wa TPLB, Almasi Kasongo alisema: “Tunatarajia kuwa na michezo 240 ya mizunguko 30 kwa msimu mpya wa 2022/23 ambapo 120 ni michezo ya …

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasredine Mohammed Nabi amelilalamikia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi kutokana na ratiba yao ya Ligi kuwabana wachezaji kiasi cha kukosa muda wa …

KOCHA Msaidizi wa Namungo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amefunguka kuwa katika dirisha hili kubwa la usajili wamechukua wachezaji wazuri kwa ajili ya kuimarisha kikosi chao. Akizungumzia maandalizi yao, Julio amesema kuwa …

Borussia Dortmund imeweka wazi kuwa mchezaji mpya wa klabu hiyo Sebastien Haller amegundulika kuwa na saratani ya tezi dume. Haller, 28, alijiunga na BVB mwezi Julai akitokea Ajax baada ya …

Robert Lewandowski anajiandaa kusaini mkataba wa miaka minne na klabu ya Barcelona kwa dau linaloelezwa kufika euro milioni 50. Uvumi wa kwamba Lewandowski atajiunga na Barca ulianza kabla hata ya …

Bondia Javier Fortuna amelezea kiu yake ya kutaka kumlambisha sakafu bondia machachari Ryan Garcia katika pambano lao lijalo ambalo limepangwa kufanyika siku ya Jumamosi katika ukumbi wa Crypto.com Arena huko …

1 2 3 4 5 6 7 8 9 114 115 116
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.