Paul Pogba hatosafiri kwenda nchini Marekani kwaajili ya mchezo wa kirafiki wa Juventus dhidi ya Barcelona siku ya Jumanne huko Las Vegas sababu ya kukabliwa na jeraha la paja.

Pogba Kuwakosa Barcelona Sababu ya Jeraha

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa alijiunga tena na mimba wa Serie A akitokea Manchester United kwa uhamsiho wa bure lakini hatoweza kucheza dhidi ya The Blaugrana sababu ya jeraha la paja.

Pogba alitumia miaka minne na Juve kutoka mwaka 2012 mpaka 2016 kabla United hawaja toa kitita cha pauni milioni 89.3 ili kunisa aini yake.

Taarifa rasmi ya klabu ilisema: “Kufuatia kulalamika kuwa na maumivu katika mguu wake wa kulia pogba atafanyiwa vipimo na masaa machache baadaye atakutana na wataalamu kwaajili ya huduma ya matibabu, “Kwa sababu hiyo hatosafiri na timu kwenda Dallas.


BASHIRI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa