Manchester United wataanza kuelekeza macho yao kwenye dirisha la usajili la majira ya kiangazi hivi karibuni, baada ya kwanza kujikita kuhakikisha wanapata nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa chini ya kocha Michael Carrick huku Khvicha akiwa ni moja ya wachezaji wanaowindwa.



