Mchezaji wa Barcelona Ousmane Dembele amekabuliana na klabu hiyo kusaini mkataba wa miaka miwili kwa kukubali kupunguzwa kwa mshahara wake. Taarifa zinadai kwamba Dembele atakatwa mshahara wake kwa alsimia 40% …
Makala nyingine
Klabu ya Chelsea ipo karibu kumsajili beki wa kati Kalidou Koulibaly kutoka Napoli kwa kitita cha pauni milioni 33.7 ambapo kwa sasa wanajaribu kujenga safu ya ulinzi kufuatia kuondoka kwa …
Bingwa wa mkanda wa Super light Heavyweight Dmitry Bivol analazimika kupigana na Gilberto ” Zurdo” Ramirez ili kutetea taji hilo ilitangazwa na chama cha ndondi (WBA) WBA imewapo mabondia wote …
Inter Milan na Arturo Vidal wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na klabu ya hiyo mchezaji huyo wa Chile anakaribia kujiunga na klabu ya Flamengo. Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba …
Kocha mkuu wa Manchester United Erik ten Hag amefunguka kwamba Harry Maguire ataendelea kuwa nahodha wa timu hiyo kwa msimu ujao alithibitisha hilo wakati wa mkutano na wandishi wa habari …
Mchezaji wa zamani wa Manchester United Wayne Rooney amekubaliana na klabu ya D.C. United ya MLS na tayari amerejea nchini Marekani kwaajili ya kuanza majukumu mapya na klabu hiyo. Rooney …
Mahakama ya uhalifu ya shirikisho nchini Uswizi imewaachilia huru viiongozi wa zamani wa FIFA na UEFA Michel Platini na Sepp Blatter kwa mshtaka rushwa yaliyokuwa yanawakabili baada ya kukutwa hawana …
Kiungo wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Uingereza Jack Wilshere ametangaza kustaafu kucheza soka la kitaalamu na kugeukia katika ukufunzi. Wilshere ambaye ana umri wa miaka 30 …
Christophe Galtier ametangazwa kuwa kocha mpya wa Paris Saint-Germain imethibitishwa na klabu hiyo ya Ligue 1 siku ya Jumanne. Kocha huyo wa zamani wa Nice alikuwa akihusishwa kurithi majukumu ya …
Baada ya Christiano Ronaldo kuomba kuondoka Manchester United basi kumekuwa na uvumi kwamba anaweza kujiunga na klabu ya Chelsea kutokana na tajiri mpya wa klabu kuvutiwa kufanya usajili wa mshambuliaji …
Klabu ya Barcelona imetanganza kukamilika kwa usajili wa kiungo wa Ivory Coast, Franck Kessie na beki wa Denmark Andreas Christensen kwa uhamisho wa bure. Christensen amejiunga na Barca akitokea Chelsea …
Mshambuliaji wa Manchester United Christiano Ronaldo alitikisa vichwa habari siku ya Jumamosi baada ya kuripotiwa kuomba kuondoka Old Trafford kwa madai ya kwamba anataka kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa …
Klabu ya Newcastle United imefanikisha uasajili wa Sven Botman kutoka Lille ya Ufaransa kwa dau linaloripotiwa kufika £35m. Newcastle wanaendelea kukisuka kikosi chao kulekea msimu mpya wa Premier League na …
Bruce Buck baada ya kuhudumu kwa miaka 19 katika nafasi ya Uenyeketi kwenye klabu ya Chelsea sasa ataachia nafasi hiyo mwishoni mwa mwezi huu. Tangu mwaka 2003 Buck amekuwa mwenyekiti …
Liverpool wamefanikisha ndoto ya kinda wa Scotland Calvin Ramsay kwa kumsajili kuwa kama msaidizi wa Trent Alexander-Anold akitokea klabu ya Aberdeen. Taarifa zinadai Joe Gomez ambaye alikuwa akisaidiana na Trent …
Klabu ya West Ham wanaendelea kuboresha kikosi chao wakati wa dirisha hili linaloendela la usajili sasa wameandaa kiasi cha pauni milioni 30 kumnunua Nayef Aguerd kutoka Rennes. Mchezaji huyo wa …
Mwaka 2019 Rodrygo alipiga chini nafasi ya kuijunga na Barcelona na badala yake alijiunga na Real Madrid kipindi ambacho aliondoka Santos. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil mwenye umri wa …
Klabu ya Monaco imethibitisha kwamba haitamuongeza mkataba mpya kiungo Cesc Fabregas na mkataba wake wa sasa utaacha kufanya kazi mwisho wa mwezi huu. Fabregas(35) ambaye aliwahi kuvichezea vilabu vya Barcelona, …
Klabu ya Southampton haijalala wakati nwa dirisha la usajili majira haya ya kiangazi sasa wamekamilisha usajili wa kumsaini golikipa Gavin Bazunu kutoka Manchester City kwa dau linaloripotiwa kuwa pauni milioni …
Klabu ya RB Leipzig imekamilisha usajili wa kudumu kwa kiungo Xaver Schlager kutoka Wolsburg dili itakayodumu mpaka 2026. Kwa mujibu wa Kicker na Sky Germany waliripoti siku ya Alhamisi kwamba …

