Unaweza kupata ongezeko la ODDS kwa mechi zinazoendelea ukiwa umechelewa kubashiri au umeamua kubashiri mubashara mechi zikiwa zimeshaanza ambapo ongezeko hilo utalipata mechi ikiwa dakika kuanzia 20, 40, 60 na 80.

Wakati huo huo, mechi ambayo ina alama B nyekundu ODDS zitaongezwa na lazima ujue kwamba ongezeko la ODDS hizo inafanyika kwa dakika moja tuu hivyo hakikisha unaweka bashiri kwa wakati.

Pata Ongezeko la ODDS kwa Mechi Zinazoendelea.

Lakini pia kama kuna tukio lolote kubwa litakalojitokeza uwanjani na likasababisha mechi kusimama kwa muda au kuahirishwa fahamu kwamba ongezeko la ODDS halitakuwepo kwa muda huo.

Meridianbet ndio kampuni pekee ambayo wewe mteja unaweza kupata ODDS kubwa zinazotelewa kila wakati kabla na na hata wakati mechi ikiwa inaendelea Na ni rahisi sana kwako kwani pesa kidogo mkwanja mrefu.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa