Unaweza kupata ongezeko la ODDS kwa mechi ambazo ziko mubashara ambapo ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana kwani kupiga mkwanja ni wazi wazi ukichagua mechi zako ambazo zitakupatia ushindi.

 

Pata Ongezeko la ODDS kwa Mechi Zinazoendelea.

ODDS hizo huongezeka kwa kila dakika 20, 40, 60 na 80 hivyo usikose fursa hii ya ongezeko hilo ambapo mechi itakayokuwa na alama B nyekundu ODDS zitaongezeka, na kumbuka kuwa ongezeko hilo linafanyika kwa dakika 1 tuu hivyo wahi chapchap.

Meridianbet inakupa fursa hii ambayo hutaweza kuipata sehemu nyingine, Lakini pia kumbuka kuwa endapo ndani ya mchezo huo kama kitu kikubwa kitatokea uwanjani na kufanya mchezo kuahirishwa ongezeko hilo halitakuwepo.

Pata Ongezeko la ODDS kwa Mechi Zinazoendelea.

Mfano leo hii kuna mechi za michuano ya Uropa Ligi pamoja na Konferensi ligi, Uropa Ligi mechi kati ya PSV dhidi ya Arsenal, ambapo Psv ana 2.79, Wakati sare ina 3.52, na Arsenal ana 2.45 kwahiyo wakati mchezo unaendelea unaweza kupata ongezeko limetokea kwenye mechi husika iliyochaguliwa.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa