Naam mzigo umeshadondoka kwao, na huu sio wa mwingine ni kwaajili yako kabisa unakusubiri wewe tu. Meridianbet wakongwe wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania wanakupa fursa.

Ukiwa na Meridianbet unaweza kujiweka kwenye nafasi ya kujishindia zawada kabambe kwenye promosheni yao ambayo inaendelea hivi sasa, ikiwa imebakiza wiki moja kuisha.

Meridianbet wanaendesha promosheni ya kushinda boda boda na simu nyingine ya mkononi kwa ubashiri wa bila intaneti wa kupiga *149*10# na kubashiri kuanzia mechi tano kwa dau la shilingi 250 tu. Chagua merdianbet sasa!

Cha kufanya weka dau lako kuanzia shilingi 250, kisha chora mkeka wako wa timu tano yaani unaangalia mechi ambazo unaona kabisa haziwezi kuchana mkeka wako, cheza mara nyingi zaidi kujiweka kwenye nafasi ya kujishindia Bodaboda, na simu Mpya ya kisasa.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa