Umepata Mgao wa Pasaka Kutoka Meridianbet?

Aprili ya Kishua unaambiwaje jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza sloti ya kasino ya mtandaoni. Kujisajili bonyeza hapa: https://a.meridianbet.co.tz/c/7urCO5

 

meridianbet

Promosheni Kabambe ya Endorphina

Vijana wengi wamekata tamaa katika suala la kuajiriwa na wengi wao ni wasomi wakubwa wenye Shahada, Astashahada ila linapokuja suala la ajira limekua kizungumkuti kwao. Ujio wa kubashiri soka kumechangia pakubwa kupunguza tatizo la ajira, Meridianbet kasino ya mtandaoni ni mfano wa sehemu sahihi ya wengi kupata pesa nyingi na kuendesha Maisha.

Moja ya kitu kinachorahisha Maisha ya majokeri wengi ni promosheni, bonasi na mizunguko ya bure kutoka sloti nyingi za kasino kama Poker, Aviator, na Titan Roulette, hivyo Meridianbet imekuja na ofa baab kubwa.

Kutoka Kasino ya Mtandaoni pekee ya Meridianbet kuanzia April 3 mpaka April 10 mwaka huu, kuna promosheni mpya na maalum kwako joka la kucheza sloti za michezo ya kasino ya mtandaoni. Cheza mchezo wowote uliochaguliwa wa Endorphina na ufurahie hali ya kusisimua itakayokupa mkwanja mrefu.

Sloti za Endorphina zilizopo ni kama Football 2022 yaani unacheza soka kama upo uwanjani vile au kwenye PS4, Chance machine 20, Book of Santa, Book stoker, Story of Xmass, 100 Zombies, The Vampires II, Book of Vlad, The Emirates II, Fisher King, Solar Eclipse ama kupatwa kwa jua na mingine mingi.

April ya kishua unaweza kuwa mshua kwa sababu, una nafasi ya kujishindia mgao wako wa zawadi kabambe ya TSH Milioni 5,000,000 kutoka kwenye droo ya zawadi yenye sloti rahisi kushinda.

Washindi wanapatikanaje?

Mwisho wa shindano, wachezaji wataorodheshwa kulingana na idadi ya mizunguko waliyocheza, na wachezaji 15 wa kwanza watajishindia zawadi kama ifuatavyo:

Nafasi ya 1: TSH 1,200,000

Nafasi ya 2: TSH 880,000

Nafasi ya 3: TSH 630,000

Nafasi ya 4: na 5: TSH 380,000 kila mmoja

Nafasi ya 6: mpaka 10: TSH 200,000 kila mmoja

Nafasi ya 11: mpaka 15: TSH 100,000 kila mmoja

 

Si utani, mawindo yameanza! Saka utajiri na Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.