Meridianbet Inakwambia Endelea Kuvuna Zaidi na Airtel Money

Mteja wa Meridianbet na wewe ambae sio mteja wa kampuni hiyo, Meridianbet imekuja na ofa maalumu ambayo inalenga kutoa zawadi mbalimbali kwa wateja wao ambao wanatumia Airtel Money na watatakiwa kuweka kiasi cha shilingi 10000 na zaidi na kufanya ubashiri wa michezo mbalimbali.

 

Meridianbet Inakwambia Endelea Kuvuna Zaidi na Airtel Money

Kama unataka unataka kushiriki promosheni hiyo lazima uwe unatumia Airtel kufanya miamala kwenda Meridianbet weka kuanzia shilingi 10000 na kuendelea na ubashiri mechi mbalimbali na michezo ya kasino ya mtandaoni kama Aviator, Poker, na mingine kibao.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Ukiweka pesa hiyo utapata nafasi ya kushinda mizunguko 125 ya bure kila siku kwenye mchezo wa kasino wa PIA, simu kwenye droo za wiki na zawadi kubwa ya pikipiki. Ingia www.meridianbet.co.tz na ucheze sasa.

Simu zitatolewa siku ya Alhamisi na Ijumaa ndani ya promosheni ambayo ilianza tokea tarehe 10 mwezi uliopita na simu 20 zitatolewa ndani ya kipindi kizima cha promosheni ambapo mwisho wake ni 15 Septemba.

Meridianbet Inakwambia Endelea Kuvuna Zaidi na Airtel Money

Pia kwa wale wateja ambao watakuwa wamepoteza pesa baada ya kucheza michezo mbalimbali na kupoteza watarudishiwa 10% ya pesa waliyopoteza ambao waliweka kiasi cha 2500000 ndani ya wiki hiyo ya promosheni.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Na Droo kubwa ya kuwapata washindi wa pikipiki itafanyika mara mbili ndani ya promosheni ambapo droo ya kwanza itfanyika tarehe 25 mwezi huu na ya pili itafanyika tarehe 15 Septemba ambapo ndio mwisho wa promosheni hii.

Meridianbet Inakwambia Endelea Kuvuna Zaidi na Airtel Money

Meridianbet wanataka wachezaji wao wafurahie wakati wanacheza, kwahivyo wanawahimiza wacheze kwa uwanjibikaji wakati wowote.

Kaulimbiu yao msimu huu inasema kuwa, Meridianbet msimu mpya mzigo wa kutosha. Weka pesa zaidi vuna zaidi na Airtel Money utimize ndoto zako.

 

 

 

 

 

 

 

Acha ujumbe