Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah amedai kwamba yupo tayari kurejea dimbani kuwakabili Leicester City siku ya Alhamisi siku nne tu baada ya kutoka kupoteza fainali ya AFCON hili limethibitishwa kocha wa Liverpool Jurgen Klopp.
Salah na Misri walipoteza fainali kwa mikwaju ya penalti ambapo nahodha huyo hakupiga penati huko Cameroon lakini Sadio Mane ambaye alipiga penalti ya ushindi aliungana na Wasenegali katika mjiku wa Dakar siku ya Jumatatu kusherehekea ubingwa na hatorejea Uingeraza kwaajili ya mechi ya Alhamisi.
Klopp aliiambia LiverpoolFC.com: “Mo sasa amerejea, nilizungumza naye tayari. Amesikitishwa sana bila shaka, lakini anatazamia mambo yote yanayokuja hapa sasa. Nilizungumza naye na kitu cha kwanza kabisa ambacho Mo aliniambia. ilikuwa: ‘Niko tayari.’ Haha!
“Ni mchezaji mzoefu, ni mnyama wa mwili, kusema ukweli, kwa hiyo lazima tumuone, ni wazi atakuwa na muda kidogo wa kupona leo na tutaona jinsi anavyojisikia kesho na kutoka huko twende.
Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.