Reece James alijumuishwa katika kikosi cha Chelsea kwa ajili ya Kombe la Dunia la Vilabu, kilichosafiri hadi Abu Dhabi Jumapili licha ya Thomas Tuchel kusema atakosa michuano hiyo.

James Ajiunga na Chelsea Kuelekea Mchezo wa Club World Cup

James hakutarajiwa kurejea mapema baada ya kuuguza jeraha la misuli ya paja, huku kocha Tuchel akisema kabla ya mechi ya Plymouth beki huyo wa pembeni alihitaji “wiki kadhaa” kabla hata ya kurejea mazoezini.

Huku Edouard Mendy akijiunga na wachezaji wenzake baada ya kuichezea Senegal katika fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Jumapili, The Blues wanakosa wachezaji wawili pekee wa kikosi cha kwanza.

Ruben Loftus-Cheek, ambaye anauguza jeraha dogo, hajafunga safari, huku msimu wa Ben Chilwell ukiwa umepunguzwa na tatizo kubwa la goti.

Kwa sasa, hata hivyo, Chelsea hawana Tuchel, ambaye alipatikana na virusi vya corona na ana nia ya kuungana na timu yake hapo baadaye.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa