Aleksander Ceferin Apinga Wazo la FIFA

Rais wa UEFA Aleksander Ceferin amepinga wao la kombe la Dunia kuchezwa kila baada ya miaka miwili na anependekeza kuwe na kikao cha wazi kwa viongozi wa watatu waasisi wa Super league

Raisi wa FIFA Gianni Infantino anajaribu kushawishi michuano ya kombe la Dunia yachezwe kila baada ya miaka miwili, kitu ambacho kinapingwa na idadi kubwa ya washika dau wa mchezo wa mpira wamiguu, kwa kuogopa kuondoa radha na historia.

UEFA hivi karibuni wameanzisha michuano mipya ya ligi ya timu za taifa ambapo mashindano hayo yanaenda sambamba na ligi za virabu ambayo inachezwa kila baada ya miaka miwili

Aleksander Ceferin alinukuliwa akiwa kwenye mahojiano na Journal du dimanche alisema, nina uhakika kombe la dunia halitachezwa kila baada ya miaka miwili, kwa sababu ni wazo la kijinga.

“Inaonekana kwangu kuwa sirikisho la mpira lingekuja na wazo la kupunguza karenda nhumu ambayo wachezaji wanaangaika nayo, tuna miezi mimgi ya kucheza kila majira kiangazi, kombe la dunia, kombe la mabara na mashindano mengine mengi, miongo mwa haya yataharibu mpira wa wanawake.” Alisema Aleksander Ceferin


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.