Kocha wa Misri Aomba Fainali ya AFCON Ichezwe Jumatatu

Kocha msaidizi wa Misri Diaa al-Sayed ametoa wito kwa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika siku ya Jumapili dhidi ya  Senegal kucheleweshwa kwa siku moja ili kuipa timu yake mapumziko zaidi.

Kocha wa Misri Aomba Fainali ya AFCON Ichezwe Jumatatu

Misri, ambao ni washindi mara saba, waliwafunga wenyeji wa michuano hiyo Cameroon kwa mabao 3-1 kwa mikwaju ya penalti siku ya Alhamisi baada ya timu zote kwenda suluhu dakika 120 bila kufungana.

Na huku Senegal ikiwa imepumzika masaa 24 ziadi baada ya kutoa Burkina Faso katika nusu fainali na fainali ya ikitarajiawa kuchezwa siku ya Jumapili mjini Yaounde, Al-Sayed anataka mchezo usogezwe hadi Jumatatu.

“Naomba CAF fainali ichezwe Jumatatu,” alisema Al-Sayed, ambaye alikuwa akizungumza na wanahabari baada ya Queiroz kutolewa nje kwa kadi nyekundu wakati wa mpambano wa Cameroon.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe