Timu ya taifa ya Brazil imerejea katika nafasi ya kwanza katika viwango vya FIFA miaka mitano baada ya kushushwa kwenye nafasi hiyo.
Ushindi wa 4-0 dhidi ya Chile nyumbani na ule wa 4-0 dhidi ya Bolvia ugenini katika michezo ya kufuzu kombe la Dunia la FIFA mwaka 2022 imefanya The Selecao kuipita Belgium ambao walishikilia nafasi hiyo kwa miaka minne.
Ubelgiji wameshindwa kupata matokeo mazuri michezo ya hivi karibuni wakilazimishwa sare ya 2-2 na Jamhuri ya Ireland mchezo wa kirafiki na sasa wameketi katika nafasi ya pili wakati nafasi ya tatu imekamatiwa na Ufaransa, Argentina ya 4 na nafasi ya tano imeshikiliwa na Uingereza.
Kumi bora ya timu za Taifa katika viwango wa vya FIFA 2022
1. Brazil
2. Belgium
3. France
4. Argentina
5. England.
6. Italy
7. Spain
8. Portugal
9. Mexico
10. Netherlands
Tanzania imepanda kwa nafasi mbili kutoka nafasi ya 132 mpaka sasa 130. Tufanye nini tuweze kuji kwamua angalau tufike hata 50 bora.
3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!
Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.