Olympics

HABARI ZAIDI

Tokyo 2020, Andy Murray Kikosini Uingereza.

0
Kuelekea mashindano ya Olympics yatakayofanyika Tokyo 2020, Japan - Andy Murray ajumuishwa kwenye kikosi cha Uingereza. Bingwa mara mbili wa Olympics atachuana na Dan...

Olympics Kuhudhuriwa na Mashabiki 10,000

0
Taarifa rasmi kutoka Japan imeripoti kuwa, raia/mashabiki 10,000 wa Japan ndio watakaoruhusiwa kuingia viwanjani kwenye michezo ya Olympics. Mashindano ya Olympics yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi...

Frank Ribery: Hii nchi ya Ugenini, Tumegoma Kuishi Kama Waroma

2
Camera ilivuta kwa karibu zaidi majukwaa ya kaskazini wakati Frank Ribery akifanya yake, macho yakamuona mzee mmoja ameshika kichwa haamini kinachotokea. Sekunde chache tu...

Je,Fainali za Olimpiki Zihairishwe au Zifutwe?

14
Mashindano ya Olimpiki ya msimu wa joto ya mwaka 2020 huko Tokyo yaliahirishwa kwa mwaka jana baada ya kuibuka kwa janga la Covid-19, kwa...

Bibiana Mwanamke wa Kwanza Kuchezesha Bundesliga

17
Leslie Feinberg alikuWa mwandishi mkubwa sana nchini Marekani, licha ya kuwa na maumbile ya kike lakini alipenda sana kuwa mwanaume, hivyo ikambidi aishi katika...

Neno la Mwisho la Maradona kabla ya Kufariki

18
Mastaa wengi duniani wameendelea kutoa pole kutokana na kifo cha Diego Maradona amefariki akiwa na umri wa miaka 60, siku za mwisho alifanyiwa upasuaji...

Peter Shilton: Maradona Hakutuomba Msamaha kwa Bao la Mkono

15
Kipa wa zamani wa timu ya Taifa ya England Peter Shilton ambaye alikuwa langoni kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali ya Kombe la...

Breaking News: Diego Maradona Aaga Dunia.

20
Habari kutoka vyombo mbalimbali vya michezo nchini Argentina vimethibitisha Legendi wa Soka Diego Armado Maradona amefariki dunia akiwa na miaka 60.Mshindi huyo wa kombe...

Muhammad Ali na Maneno ya Shombo

24
Huyu ni Cassius Clay, bondia ambaye baadaye akabadili dini na jina na kuwa Mohamed Ali. Cassius Clay au Mohamed Ali, alikuwa bingwa wa masumbwi na...

Javier Mascherano Amestaafu Kucheza Soka.

21
Waswahili husema 'kila chenye mwanzo, hakikosi kuwa na mwisho'. Kama ilivyokuzaliwa, kuna kufa. Javier Mascherano ametundika daruga kwenye ulimwengu wa soka la kulipwa. Mashabiki na...