Taarifa rasmi kutoka Japan imeripoti kuwa, raia/mashabiki 10,000 wa Japan ndio watakaoruhusiwa kuingia viwanjani kwenye michezo ya Olympics.
Mashindano ya Olympics yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi kwenye viwanja mbalimbali nchini Japan kuanzia Julai 23.
Licha ya kuruhusu mashabiki, kuna wasiwasi uwepo wao viwanjani unaweza kuchangia ongezeko la maambukizi ya COVID19 na kwasababu hiyo, serikali ya Japan imejipanga kuhakikisha idadi ya mashabiki haizidi 50% ya uwezo wa viwanja ikiwa ni sambamba na kuweka huduma za dharura.
Hakuna mipaka ya ushindi kwenye Keno Instant ya meridianbet Kasino, hii wewe ndiyo una uamuzi zaidi juu ya mchezo na nafasi ya machaguo kibao


