Usain Bolt: Sifikilii kurejea Tena

Usain Bolt mshindi  mshindi mara nane wa mishindano ya olympic asema “nimechelewa” kurudi japo anakubali kuwa anapata hamu ya kurudi tena kwenye mashindano.

Mjamaika huyo mwenye miaka 35 nyota yake ilianzaa kuonekana  mwaka 2017. Anasema alishawishika  tena kurudi katika michezo iliyofanyika  Tokyo japo kocha wake nae  alimfuata kumshawishi.

“Nimechelewa, kama ningehitaji kurudi basi ingekuwa ni kwenye mashindano ya olympic hii” alimwambia mwandishi wa BBC.

usain bolt
Usain Bolt

“Nilipomwambia mkufunzi wangu kuwa nataka kustaafu alinikalisha chini na kuniuliza lini unataka kustaafu. Sifanyi chochote kurudi, hakuna. Aliniambia ‘hakikisha uko tayari kwa ajiri ya kustaafu.”

“Kama sio mkufunzi wangu, sitafanya, sababu namuamini na kama akisema hapana basi ni hapana japo napata hamu ya kurudi tena.”

Mbali na kuwa mwanariadha pia ni shabiki mkubwa wa mpira wa miguu na klabu ya Manchester United.

Baada ya kuikacha riadha,  Usain Bolt  akahamia kwenye mpira wa miguu na kupita kwenye vilabu kama Valleta fc ya nchini malta na Mariners ya nchini australia huko alidumu kwa wiki 8 tu na akaamua kuachana na michezo.

Usain Bolt kwa sasa anajihusisha na mziki huku akiacha vibao kadhaa ambavyo  ameshairikisha wasanii wakubwa wa jamaika kama Christopher Martin, Dexta daps na Ding Dong.


USHINDI KIGANJANI KWAKO!

Meridianbet inakuletea ushindi kwenye kiganjani kwako, unafurahia radha halisi ya burudani ya kasino mtandaoni na tabasamu la ushindi.

Meridianbet Online Casino

 INGIA MCHEZONI HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.