Mwakinyo Amchapa Carlos Pazi

Hassan Mwakinyo, bondia Mtanzania amesema kuwa alijipanga kuibuka na ushindi mbele ya mpinzani wake Jose Carlos Pazi wa Argentina jambo lililompa ushindi.

Bondia Mwakinyo usiku wa kuamika leoΒ  amefanikiwa kuetetea mkanda wake wa WBF Intercontinental Super Welterweight.

Mwakinyo amemchapa Paz wa Argentina kwa TKO raundi ya nne kwenye Ukumbi wa Next Door Arena.

 

“Nilikuwa nimejipanga kushinda na ninafurahi kushinda katika hili huu ni ushindi wa Tanzania kiujumla, mashabiki pamoja na Serikali ambayo inanipa sapoti,” amesema.


UMEJARIBU HII POKER YA VIDEO?

Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!

Meridianbet Casino

INGIA MCHEZONI!

25 Komentara

    Congrats CHAMPIONS mwakinyoπŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘‘πŸ‘‘

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Mwakinyo amekua mpiganaji mzuri

    Jibu

    Asante mwakinyo umeonyesha ushujaa wako umetufanya sisi watazania kutokana kifua mbele kwenye papano lako huku tukiponza maumimu ya kupoteza kwa tunusia

    Jibu

    Mwakinyo anapeperusha bendera vizur ya nchi

    Jibu

    Mwakinyo mtu mbad

    Jibu

    Vzr sana

    Jibu

    Mwakinyo amemchapa Paz wa Argentina kwa TKO raundi ya nne kwenye Ukumbi wa Next Door Arena.

    Jibu

    Mwakinyo nomaa

    Jibu

    Good

    Jibu

    Mwakinyo ni jembe

    Jibu

    pongezi kwake mwakinyo

    Jibu

    Mwakinyo baba lao

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Safi sana Mwakinyo

    Jibu

    Mwakinyo anaipeperusha vema bendera ya Tanzania

    Jibu

    Mwakinyo kama mwakinyo namkubali sana huyu jamaa

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Pongezi zake mwakinyo halikuwa amejipanga kikamilifu kwenye pambano hilo

    Jibu

    Safi sana mwakinyo

    Jibu

    vzr

    Jibu

    Mwakinyoo jeshiiii

    Jibu

    Mwakinyo yuko vizuri sana katika kazi yake hataki kabisa Masihara

    Jibu

    Mwakinyo ni zaidi ya mpambaji yan anajua sana huyu jamaa

    Jibu

    Pongez kwake mwakinyo

    Jibu

Acha ujumbe