Uongozi wa Azam FC umeweka wazi kuwa nyota wao Idd Chilunda alibadilisha timu ya awali aliyotakiwa kujiunga nayo kwa kuwa kocha wa timu hiyo alimkataa.
Chilunda ambaye ni mzawa kwa sasa amejiunga na Klabu ya Moghreb Atletico Tetuan ambapo awali alitajwa kumalizana na Klabu ya Mouloudia zote za Morocco.
Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa Chilunda alilazimika kuibukia timu nyingine baada ya kocha wa timu ya mwanzo kumkataa.
“Chilunda alitoka Tanzania ili kujiunga na Klabu ya Mouloudia d’Oujda ya Morocco lakini kocha aliyekuwa akimhitaji Abdelhak Benchika alibadilishwa na kuletwa Abdeslam Ouaddou ambaye hakumtaka Chilunda.
“Kutokana na hali hiyo wakala wa Chilunda aliamua kufanya mazungumzo na timu nyingine ambapo alipata timu hiyo ya Atletico Tetuan ambayo imemsajili,” amesema.
Chilunda aliwahi kucheza Tenerife ya Hisapnia ambapo hakuweza kuwika sana na kurejea ndani ya Azam FC.
Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!




aisha
Chilunda ni poa sana
Povel
Hizo ni changamoto tu kikubwa chilunda akambane katika timu yake mpya
Ester jackson
Aaah sikujua hilo asante kwa kutujuza meridianbettz
Hopemwaikuka
Kumbee
Nasra
Duh
Janeflora malisa
Oooh
David Pere
Chilunda alitoka Tanzania ili kujiunga na Klabu ya Mouloudia d’Oujda ya Morocco lakini kocha aliyekuwa akimhitaji Abdelhak Benchika alibadilishwa na kuletwa Abdeslam Ouaddou ambaye hakumtaka Chilunda.
Asia Abdy
Asante kwa taarifa
Saupha mohamed
Dhuuuu
zeiyana
Hayo yote ndio maisha ya wachezaji hata hapo alipo sio mbaya sana kinachotakiwa kuonesha kazi yako tu
Adelta
Chilunda yupo vizuri
Angelina
Nice update
Sauda
Chilunda apambane kuinyanyua timu yake
Elika
Chilumba yuko vizuri
Fatina mfigi
Pamban Mambo yatakuwa mazur tyu
Lydia Emmanuel Magoti
Kwenye maisha lazima kutakuwa nachangamoto kwaio azidi kupambana changamoto zitampitia mbali
Tatu
Changamoto katka maisha apambane tu
Rahma
Shukrani kwa taharifa
lombo
saf
Issa
Chilunda yupo fit
Sabrina
Duuh chilunda mtu m’bad
Magdalena
Afadhali kapata timu nyingine ya kuchezea ukouko hao waliomkataa watakuja kujutia iyo nafasi pale atakapoonesha juhudi zake za ajabu
Mwajumah
Duuh