Simba SC , Yanga Kucheza AFL, Azam FC & Coastal Union CAFCL

Baada ya pazia la ligi kuu ya NBC Tanzania bara msimu wa 2023/24 kufungwa Mei 28, vita kubwa ilikuwa ni nafasi za kucheza mashindano ya kimataifa kati ya Simba SC na Azam FC, huku vilabu kama Tabora Utd na Geita Gold FC zilikuwa zinapambania nafasi ya kusalia kwenye Ligi.

 

Azam FC

Mnyama ambaye amekuwa mzoefu zaidi kwa miaka ya hivi karibuni katika mashindano ya Kimataifa alikipiga na JKT Tanzania katika uwanja Benjamin Mkapa na kuambulia ushindi wa magoli 2-0, magoli ya Simba SC yalifungwa na Saido Ntibazonkiza na Willy Essomba Onana. Meridianbet inakupa utajiri kwa kubashiri michezo mingi ODDS KUBWA, unaweza kubashairi mubashara kwa maduka ya ubashiri

Kwa upande wa Azam FC wao walimalizia Ligi Ugenini dhidi ya Geita Gold ambao waliwafunga mabao 2-0 magoli yakifungwa na Fuentes, na Feisali Abdallah Feitoto akimaliza nafasi ya pili kwenye mbio za ufungaji bora, akiwa na magoli 19, nyuma ya Aziz Ki wa Yanga mweye mabao 21.

Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Azam FC wanashika nafasi ya pili ambapo tayari wanakuwa wamefuzu kucheza michuano ya klabu bingwa mwishoni mwa mwaka huu, hii ikiwa ni mara ya pili kwa klabu hiyo kushiriki CAFCL.

Cheza kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet uwe moja kati ya washidi wa kila siku, kuwa tajiri mpya kwa dau dogo tu. Cheza kasino hapa.

 

Simba

Kwa mujibu wa maelezo ya Rais wa CAF Patrice Motsepe mapema mwaka jana alinukuliwa akisema kwamba, amepokea mapendekezo kutoka kwa washauri wake kuwa vilabu vikubwa Afrika hawapendi kucheza kombe la Shirikisho kwakuwa halina thamani kubwa hivyo kama CAF wanatakiwa kulifuta.

Motsepe alisema kwamba wanafikiria kuongeza timu zitakazoshiriki mashindano mapya ya African Football League (AFL), kutoka timu 8 mpaka 24 kwa maana hii basi, Simba SC na Yanga wana nafasi kubwa ya kushiriki mashindano hayo yenye utajiri mkubwa. Wakati huo Azam FC na Coastal Union watashiriki Klabu Bingwa Afrika.

Acha ujumbe