Yanga Yaambulia Suluhu kwa Mkapa

Jana mchezo wa ligi ya mabingwa mwingine umepigwa katika dimba la Benjamin mkapa ambapo Yanga walikuwa wenyeji wa Mamelodi Sundowns majira ya saa 3:00 usiku na kumalizika kwa suluhu.

Yanga Yaambulia Suluhu kwa Mkapa

Yanga waliingia uwanjani huku wachezaji wao muhimu kwenye kikosi cha kwanza wakikosekana akiwemo Pacome, Yao Kwasi, pamoja na Khalid Aucho ambapo hawa wote ni wachezaji tegemezi ndani ya klabu.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Mechi ilikuwa wazi kwa pande zote mbili na timu zote zilikuwa zikishambuliana kwa zamu, yani njoo na mimi nije huku vijana wa Jangwani wakikosa nafasi nyingi ambazo walizitengeza lakini halikadhalika kwa wageni.

Kila timu bado ina nafasi ya kusonga kwenye hatua ya Nusu Fainali kwenye mechi ya marudiano ambao itapigwa kule Afrika Kusini tarehe 5 mwezi ujao katika dimba la Moripe ambapo ikumbukwe kuwa Mamelodi ndio mabingwa wa AFL hivyo mchezo hautakuwa rahisi.

Yanga Yaambulia Suluhu kwa Mkapa

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Je Yanga wanaweza kuwafunga Mamelodi na kufika hatua ya Nusu Fainali ya klabu bingwa siku hiyo endapo wachezaji wao tegemezi wakiwa wamereje kwani baadhi ya wadau wa Yamga wanaamini kuwa kukosekana kwao kumesbabaisha washindwe kupata ushindi.

 

Acha ujumbe