HIKI NDIYO KIMEMUONDOA C.E.O TABORA UNITED

Jana Alhamisi, Klabu ya Tabora United ilitoa taarifa ya kuacha na Afisa Mtendaji wake Thabity Kandoro Baada ya makubaliano ya pande zote mbili.

 HIKI NDIYO KIMEMUONDOA C.E.O TABORA UNITED

Awali, kabla ya kutoka Kwa taarifa hiyo tetesi zilikua zinasema, Kandoro angeondoka kwenye klabu hiyo kwa kuwa hapakuwa na mazingira mazuri ya kufanya kazi.

Sasa taarifa kutoka kwenye chanzo Cha kuamini ndani ya Uongozi wa Tabora United ni Kwamba, Kandoro ameondoka kwenye klabu hiyo baada ya kutokea ugomvi baina yake na uongozi wa juu.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

 HIKI NDIYO KIMEMUONDOA C.E.O TABORA UNITED

Chanzo hicho kilizama ndani kabisa Kwa kusema, kulitokea sitomfahamu kwenye Ishu za usimamizi wa kifedha na ndiyo Sababu ya yeye kuondolewa kwenye nafasi hiyo.

Alipotafutwa Msemaji wa Klabu hiyo Christina Mwagala Ili athibitishe taarifa za Uwepo wa ugomvi huo alisema: “Sisi kama klabu tulishatoa taarifa juu ya C.E.O wetu, naomba tubaki na kile ambacho tulikisema.”

Acha ujumbe