Milan wamekamilisha makubaliano ya mkataba na Youssouf Fofana na hivi karibuni watawasilisha ofa mpya kwa Monaco kwa ajili ya kumnunua kiungo huyo.
The Rossoneri wamekuwa wakimlenga kwa dhati kiungo huyo wa kati wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 25 kwa wiki kadhaa sasa, wakiamini kuwa ndiye msaidizi bora kwa kikosi cha Paulo Fonseca. Vilabu kadhaa pia vinamtaka mchezaji huyo, vikiwemo Manchester United na Atletico Madrid.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
