Mpiganaji wa Uzito wa juu Dillian Whyte hatimaye amevunja ukimya kuelekea kwenye pambano lao la wikiendi ijayo dhidi ya Tyson Fury.

Tokea kutangazwa kwa pambano kati ya Dillian Whyte dhidi ya Tyson Fury, Whyte au maarufu kama ‘Body Snatcher’ alijitenga kusaidia kuhamasisha pambano hilo, na kupelekea jutokea kwa sintofahamu kuhusu mapatano kati ya kambi hizo mbili.

Dillian Whyte

Zikiwa zimebaki siku kumi kabla ya pambano hilo Dillian Whyte ameavunja ukimya na kuamua kuchochea moto wakati siku ya pambono linpokaribia, kwenye mkutano wa kwanza na waandishi wa habari uliopangwa ulihudhuliwa na Fury tu ambaye alipata nafasi ya kumdhihaki mpizani wake.

Kulingana na alischoandika Whyte, inaonekakana dhamira yake ilikuwa ni kufikisha ujumbe kwa kifupi na uwazi kwa mpinzani kuwa yeye ni mtu asiyepigika,

“Niko tayari, matazamia kumuona kila mtu siku ya 23 April @wembleystadium #LetsGooo!!!!”. alichapisha kwenye ukurasa wake wa Twitter, Dillian Whyte


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa