Liverpool na Manchester City zimefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuziondosha mashindanoni Benfica na Atletico Madrid katika mechi zilizopigwa jana usiku.

 

liverpool, Liverpool, City Watinga Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa., Meridianbet

Benfica ambayo ilifungwa mabao 3-1 katika mchezo wa kwanza, ilipambana lakini ilishindwa kupindua matokeo dhidi ya Liverpool katika dakika 90 na mchezo kumalizika kwa mabao 3-3.

Atletico Madrid wakiwa Wanda Motepolitano walishuhudia dakika 90 zikimalizika kwa sare tasa na kuondolewa mashindanoni kutokana na faida ya 1-0 waliyokuwa nayo City katika mchezo wa kwanza.

Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa inatarajiwa kuwakutanisha Real Madrid dhidi ya Manchester City wakati Liverpool wakivaana na Villareal katika nusu fainali ya pili.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa