liverpool - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Liverpool Mipango yao kwa Zubimendi

Daily News

Klabu ya Liverpool inaelezwa kuingia sokoni kutafuta kiungo wa ulinzi na katika machaguo yao ni kiungo wa klabu ya Real Sociedad Martin Zubimendi ambaye wanamuhitaji. Liverpool mpaka sasa hawajafanya usajili …

Allison Becker Bado Yupo Sana Liverpool

Daily News

Golikipa wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Brazil Allison Becker inaelezwa bado yupo sana katika viunga vya Anfield licha ya tetesi mbalimbali zinazoendelea kumuhusu kwasasa. Allison Becker …

Liverpool Yakabwa Koo Tena

Daily News

Klabu ya Liverpool imekabwa koo tena leo mbele ya klabu ya Westham United baada ya kulazimishwa sare ya mabao mawili kwa mawili katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza. Baada …

Liverpool Yapigwa Tena Nyumbani

Daily News

Klabu ya Liverpool imeendela ilipoishia katikati ya wiki na hiyo ni baada ya kukubali kipigo cha goli moja kwa bila leo katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya …

Liverpool Chupuchupu Old Trafford

Daily News

Klabu ya Liverpool imeponea chupuchupu katika dimba la Old Trafford mbele ya mashetani wekundu katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza ulipigwa jioni ya leo na kumalizika kwa sare ya …

Rashford Kuanza Dhidi ya Liverpool

Daily News

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Marcus Rashford amerejea kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo dhidi ya Liverpool leo baada ya kuanzia kwenye mchezo dhidi ya Chelsea. Rashford alianzia …

1 2 3 4 146 147 148