Mtaalamu wa habari za usajili Fabrizio Romano anadai kwamba Liverpool na Bayern Munich “wanavutiwa sana na” Xabi Alonso ikiwa wote wapo sokoni kusaka kocha mpya baada ya wakufunzi wao kutangaza kuachia manyanga mwishoni mwa msimu. Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.
Liverpool wanahitaji kocha mpya baada ya Jurgen Klopp kutangaza mwanzoni mwa mwaka huu kwamba atajiuzulu mwishoni mwa msimu ili achukue mapumziko kutoka kwenye soka.
Kwa upande wa Xavi Alonso bado anaongoza kwenye orodha ya wanaopewa nafasi kubwa kuchukua nafasi ya Klopp Anfield lakini ripoti kutoka Ujerumani zinaamini kwamba Mhispania huyo atachagua Bayern Munich ikiwa ataondoka Bayer Leverkusen msimu huu. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Leverkusen bado hawajafungwa katika Bundesliga msimu huu na kwa sasa wanaongoza kwa alama kumi mbele ya Bayern Munich na wanahitaji kushinda mechi 4 ili kutangazwa mabingwa wapya wa Ligi hiyo.
Liverpool wana chaguo mbadala ikiwa watashindwa kumpata Alonso na hilo linajumuisha Ruben Amorim wa Sporting Lisbon, Julian Nagelsmann wa Ujerumani, na Roberto de Zerbi wa Brighton.
Mapema msimu huu, Alonso alifanya uamuzi wa kubadilisha fikra kutoka kufikiria fursa za kazi hadi kuzingatia kabisa jukumu lake katika Leverkusen. Jisajili na Meridianbet upate bonasi za kasino kibao na odds kubwa za ubashiri kwa machaguo kibao.