Nyumbani Football Carabao Cup

Carabao Cup

city mabingwa carabao cup

Man City Bingwa Carabao Cup Mara Ya 4

10
Timu ya Manchester City imefanikiwa kuchukua kombe la Carabao Cup jana baada ya ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Tottenham Hotspurs. Hii ilikuwa ni mechi nzuri sana kwa Manchester City ambao walionekana kushambulia lango la Spurs kama nyuki. Toka dakika...
Brendan Rodgers

Brendan Rodgers Kuwa Mrithi Wa Mourinho?

10
Ripoti sahihi kutoka Tottenham zinadai kuwa Brendan Rodgers anatajwa shabaha ya kuwa mrithi wa Jose Mourinho aliyefukuzwa hivi karibuni. Toka Mourinho aondoke klabuni hapo, Spurs wamekuwa wakihusishwa kufanya mazungumzo na makocha wengi wakiwemo, Julian Nagelsmann, Scott Parker and Ralph Hasenhuttl,...
harry kane

Kane Hatihati Kukosa Fainali Kesho

8
Nahodha wa kikosi cha Tottenham, Harry Kane ana hatihati ya kukosekana kesho kwenye mchezo wa fainali ya Carabao Cup dhidi ya Manchester City. Kane aliumia kifundo cha mguu Ijumaa iliyopita wakati timu yake ilipokuwa ikichuana dhidi ya Everton mchezo ambao...

Guardiola: Foden Amekuwa Bonge la Mchezaji

15
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola alishindwa kujizuia kumsifia mchezaji Phil Foden baada ya kuonesha kiwango bora siku ya Jumatano katika ushindi 2-1 Pep alisema kijana huyo wa miaka 20 amekuwa "mbaya". Foden amefikisha mabao saba na kutoa assist tano...
Pogba: Kucheza Manchester United Siyo Rahisi.

Pogba: Kucheza Manchester United Siyo Rahisi.

18
Paul Pogba anakubali kucheza kwa Manchester United "sio rahisi", lakini anaweka macho yake kwenye "mambo makubwa" baada ya kutupwa nnje kwenye nusu fainali ya Carabao Cup mikononi mwa wapinzani wao Manchester City. Baada ya kusimama katika hatua hiyo katika mashindano...
United

United Yatupwa Nje Carabao Cup.

21
Manchester United wameendelea walipoishia 2020, hii ni baada ya kutolewa kwenye nusu fainali ya Carabao Cup. United wanapoteza mchezo wa 4 mfululizo kwenye hatua ya nusu fainali wakiwa chini ya Ole Gunnar Solskjaer. Msimu uliopita, United walifungwa na Man City (Carabao...

Spurs Yatinga Fainali ya Carabao Cup.

23
Pengine huu ukawa na msimu mzuri kwa Tottenham Hotspurs wakiwa na Jose Mourinho. Ushindi dhidi ya Brentford umewavusha hatua ya nusu fainali. Spurs ametinga hatua ya fainali ya mashindano ya Carabao Cup baada ya kuwatungua Brentford magoli 2-0. Moussa Sissoko...

MOST COMMENTED

Norwich Kubakiza Mihimili Mitatu Kikosini.

11
Hakika muda unakwenda kasi sana. Baada ya kushuka daraja msimu uliopita, Norwich City kurejea tena kwenye EPL msimu ujao baada ya kufanya vizuri kwenye...
Fununu za Soka Barani Ulaya

Fununu za Soka Barani Ulaya

HOT NEWS