Golf

Mcllroy

Mcllroy Bingwa Wa Wells Fargo Championship

4
Rory Mcllroy ameondoa ukame wa kubeba mataji baada ya kuibuka kidedea kwenye mashindano ya Wells Fargo Champions kwa mara ya 3. Ni wiki 6 tu zimepita, tangu Rory aanzekufanya kazi na kocha Pete Cowen na matunda yameanza kuonekana. Bingwa huyu...

Tiger Woods Kuikosa Masters 2021

5
Tiger Woods atayakosa shindano la Masters 2021, linalofanyika kati ya Aprili 8–11, 2021 ikiwa ni kumbukizi ya miaka 20 ya ushindi wake wa "Tiger Slam" pale Augusta National. Woods, bado anajiuguza nyumbani kwake Florida kufuatia ajali mbaya ya gali aliyohusika...
Gofu

Gofu: Uchunguzi wa Ajali ya Tiger Woods, Umekamilika.

4
Haikuwa habari nzuri kwa wadau wa michezo kote ulimwengu, iliporitiwa kuwa mchezaji wa gofu - Tiger Woods amepata ajali mbaya ya gari kule jijini Los Angeles, Marekani. Ilikuwa ni Februari 23,2021 zilipotoka taarifa kupitia vyombo mbalimbali kuwa Tiger Woods amepata...

Tiger Woods Apata Ajali na Kiwahishwa Hospitali

9
Mshindi wa mara kumi na tano Tiger Woods amepelekwa hospitalini baada ya kuhusika katika ajali mbaya ya gari huko California. Mchezaji huyo wa miaka 45 aliondolewa kwenye ajali hiyo na wazima moto wa Kaunti ya Los Angeles, ambao walilazimika kutumia...
Ashleigh

Ashleigh: Tenesi au Gofu Kote Sawa.

20
Mchezaji wa tenesi mwanamke namba 1 kwa ubora duniani - Ashleigh Barty, ameibuka tena kwenye ulimwengu wa michezo, safari hii ni kwenye mchezo wa gofu. Japokuwa hatokuwepo uwanjani kutetea taji lake la French Open mwezi ujao, Ashleigh anaendelea kubeba mataji...

MOST COMMENTED

Uchambuzi:Mchezo wa Kirafiki England vs Wales.

34
Bosi wa timu ya taifa ya Uingereza Gareth Southgate atatoa nafasi kwa wachezaji makinda waweze kuonesha walicho nacho pale Wales itakapo tembelea viunga vya...

HOT NEWS