VPL

Fraga

Fraga Bado Ana Nafasi Ya Kung’aa Simba

2
Huku tetesi nyingi za usajili zikiendelea kwenye ligi kuu bara, Msimbazi kuna sitofahamu kubwa kuhusu nafasi ya viungo wakabaji wa timu hiyo, Gerson Fraga anahusishwa kurudi Msimbazi huku Jonas Mkude akiendelea kupuyanga! Bado Simba inamuhitaji Gerson Fraga ndani ya timu,...
Vodacom

Vodacom Yajitoa Udhamini Ligi Kuu VPL

2
Wadhamini wakuu wa ligi kuu Tanzania bara, Vodacom wameamua kujitoa kwenye udhamini wa ligi hiyo kutokana na kinachosemakana kuwa wanapata hasara kubwa kwenye udhamini huo. Taarifa hiyo imekuja baada ya Kampuni ya Vodacom kuandika barua kwa TFF ya kueleza nia...
Dube

Dube, Lwandamina Washinda Tuzo Mwezi Wa 5

1
Mchezaji wa Azam FC Prince Dube ameibuka mchezaji bora wa mwezi mei wa VPL, huku kocha wake mzambia George Lwandamina akiibuka kocha bora wa mwezi mei vilevile kufuatia mchezo mzuri walioonesha katika mwezi huo. Katika mechi tano za mwisho Azam...
Gomez

Gomez, The Master Mind Nyuma Ya Pazia!

0
Ujio wa Gomez Msimbazi umefanya Simba kuwa bora sana. Kwa kipindi cha hivi karibuni, klabu ya Simba imekuwa katika kipindi kizuri sana na bila shaka kila shabiki wa Simba anafurahia hilo, lakini msingi wa yote haya ni Gomez ambaye...
Simba

Simba Yaichapa Ruvu 3-0, Kadi Nyekundu Kibao!

1
Baada ya tambwe kibao sana kutoka kwa msemaji wa Ruvu, Simba Sc ilihitaji dakika 90 kumthibitishia kuwa sasa ni "next level", nafasi zilitengenezwa kwa wakati ila mwisho ubao wa matokeo ulisomeka Ruvu 0 - Simba 3. Katika mchezo uliokuwa na...
Bwire

Bwire:Simba Anakufa Nyingi Tu

2
Msemaji wa timu ya Ruvu Shooting, Masau Bwire amedai kuwa timu ya Simba itafungwa magoli mengi leo itakapocheza nao huku Mwanza katika mchezo wa mzunguko wa pili baada ya kushinda mchezo wa raundi ya kwanza. Akizungumza na wanahabari, Bwire alieleza...
Yanga

Yanga Yapinga Kauli Ya Bumbuli

3
Kaimu katibu mkuu wa klabu ya Yanga Haji Mfikirwa amesema kuwa kauli aliyoitoa Afisa Habari wa klabu hiyo Hassan Bumbuli kutoutambua mchezo wa Ligi dhidi ya Simba, July 03 SIO KAULI YA KLABU. Mfikirwa amedai kuwa klabu itatoa kauli...
Carlinhos

Carlinhos Avunja Mkataba Yanga

0
Mchezaji kiungo wa Yanga, Carlinhos Harmo amevunja mkataba na timu yake ya Yanga baada ya kile kinachodaiwa kuwa ni matatizo ya kifamilia huko nyumbani kwao Angola. Taarifa rasmi zinadai kuwa Carlinhos amewahi kutaka kuvunja mkataba na Yanga kwa mara mbili...

Yanga Yapewa Mapumziko Baada ya Mchezo na Mwadui

1
Kikosi cha Yanga kimewasili jana Mei 26, kutoka mkoani Shinyanga na moja kwa moja kocha mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi amewapa mapumziko wachezaji wake. Yanga imewasili huku wakiwa na uhakika wa kucheza nusu fainali ya kombe la Shirikisho Azam baada...
Lamine

Lamine Atimuliwa Kambini kwa Utovu wa Nidhamu

1
Beki na Nahodha wa Yanga, Lamine Moro alitimuliwa wakiwa kambini Ruangwa wakijiandaa na mchezo wa VPL dhidi ya Namungo FC uliomalizika 0-0 na kurejeshwa Dar kwa madai ya utovu wa nidhamu. Baada ya hapo kocha mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi...

MOST COMMENTED

European Super League Yawacharua Wadau.

10
Bado ni mapambano yaliyojawa hisia na mivutano ya hoja kunako soka la Ulaya. Wiki hii imegubikwa na wimbi la wadau wa soka kuhusu mpango...

HOT NEWS