Uwanja wa taifa ulisubiri kwa hamu kubwa kushuka uwanjani kwa wachezaji wa Simba na Yanga katika ile Derby yenye joto kubwa zaidi Afrika Mashariki na kati.
Mchezo huu ulianza kwa kasi sana kwa upande wa wananchi, huku Simba wakionekana kuwa wapo katika mshangao mkubwa wakiruhusu Yanga wawashambulie na kutoa kona nyingi.
Mnamo dakika ya 13, zawadi Mauya aliandika bao la kwanza na la pekee katika mchezo huo baada ya kumalizia mpira uliotemwa na Aishi Manula wakati wa Kona baada ya mpira huo kumgonga beki wa Simba.
Katika kipindi cha pili, Simba walishambulia sana na huku wananchi nao wakionekana kuzuia zaidi ya kitu kingine chochote. Mpaka dakika tisini zinakamilika Yanga 1 simba 0, huku wananchi wakiondoka kwa furaha na Wa Simba wakilalamika tu!
IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!

