Madrid Yamtaka De Beek Kwenye Dili la Varane.

 

Klabu ya Real Madrid wameiambia Manchester United kwamba watamchukua Donny van de Beek mikononi mwao kwa mkopo kama sehemu ya makubaliano ya Raphael Varane.

Jarida la The Sun, limeripoti kuwa Real Madrid pia wanataka kiasi cha Euro milioni 50 kwaajili ya kumuachia mlinzi huyo wa kati wa Ufaransa mwenye miaka 28.

Kutokana na mapambano ya Van de Beek huko Manchester United tangu kusajiliwa kutoka Ajax, hii inaweza kuwa biashara ya kuvutia.

Machester United wanajiapanga kuelekea msimu mpya huku wakiwa tayari wameshakamilisha dili la mshambuliaji Jadon Sancho kutoka Borussia Dortmund.


KUSANYA PESA HAPA!

IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!Meridianbet

INGIA MCHEZONI

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.