Makala nyingine

Formula 1 imefuta mbio zilizopangwa kufanyika nchini Urusi za Russian Grand Prix leo siku ya ijumaa kutokana na nchi ya Urusi kuivamia Ukraine. Chama kinachosimamia mashindano ya F1, FIA na …

Ferrari wamerejea kupigania ushindi wa mbio na mataji msimu huu kwani “wameyakumbuka” kwani hawajashinda mbio kwa misimu miwili sasa, huku ushindi wao wa mwisho ukiwa na Sebastian Vettel kwenye Singapore …

FIA yathibitisha kumuondoa Michael Masi kwenye nafasi ya ukurugenzi wa mashindano ya Formula 1 kufuatia uchunguzi uliofanyika wakati akisimamia mashindano ya Abu Dhabi Grand Prix. Kuanzia sasa nafasi ya ukurugenzi …

Bingwa mara nne kwenye mashindano ya F1 Sebastian Vettel anaamini Michael Masi anapaswa kubakishwa kwenye nafasi yake ya ukurugenzi wa mashindano japokuwa alifanya maamuzi ya utata kwenye fainali ya mashindani …

Timu ya Aston Martin Aramco Cognizant inayoshiriki mashindano ya F1 leo wametambulisha gari yao mpya itakayotumia injini ya AMR22 ambayo watakayoitumia kwenye mashindano ya Formula 1 2022. Aston Martin ni …

Dereva wa magari ya mbio za langalanga kutoka kwenye timu Mercedes inayoshiriki mashindano ya F1 Lewis Hamilton ametoa neno baada ya kuwa kimya kwa muda refu. Hamilton ambaye alikuwa kimya …

Timu ya Aston Martin leo wamemtambulisha na kumchagua Mike Krack kuwa kiongozi mpya wa timu hiyo ambapo anakwenda kuchukua nafasi ya Otmar Szafnauer ambaye ameondoka hivi karibuni. Kabla ya kujiunga …

Nyota wa timu ya Mercedes Lewis Hamilton amekuwa kimya kwa muda mrefu tokea kumalizika kwa mashindano ya mwisho mwaka jana disemba jijini Abu Dhabi ambapo kulitokea sintofahamu nyingi kwenye mashindano …

Max Verstappen ameeleza kuwa  boss wa Mercedes Toto Wolff alimtumia ujumbe wa kumpongeza kutokana na ushindi aliyoupata kwenye mashindano ya Formula 1 usiku wa jana jijini Abu Dhabi. Awali Mercedes …

1 2