Timu ya Aston Martin leo wamemtambulisha na kumchagua Mike Krack kuwa kiongozi mpya wa timu hiyo ambapo anakwenda kuchukua nafasi ya Otmar Szafnauer ambaye ameondoka hivi karibuni.
Kabla ya kujiunga na Silverstone, Mike Krack alikuwa anaiongoza BMW’s global motorsport, ambapo alifanya kazi ya katika kampuni hiyo yenye makazi jijini Munich tangu maka 2014, ambapo alikuwa msimamizi wa Formula E, GT na IMSA programmes, huku pia kihusika kwenye mipango ya upanuzi wa LMDh formula ya IMSA & WEC.
Wakati akitambulishwa Mike Krack alisema, “nimeshitushwa na niheshima kubwa kushaguliwa kwa nafasi ya ‘Team Principal” kwenye kampuni na timu ya Aston Martini na namshukuru sana Lawrence na Martini kwa kunipa nafasi hii adhimu.”
Mike Krack pia amefanya kazi kwenye kampuni ya Porsche kama mtendaji mkuu wa Porsche motorsport, pia amefanya kazi kwa miaka 10 ndani ya Formula One, akiwa na Sauber baadae BMW-Sauber.
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.
CHEZA HAPA