FIA, kwa mara ya kwanza wamekubali kuwa teuzi ya hixi karibuni ya mkurugenzi Peter Bayer kunaweza kufanya Michael Masi kutorejea tena mwaka huu kama mkurugenzi wa mashindano ya F1
Peter Bayer kwa sasa anaendesha uchunguzi wa taasisi hiyo kutokana na sintofahamu ya maamuzi ya ushindi ya mashindano yaliofanyika jijini Abu Dhabi, amabapo ubingwa wa mbio hizo ulichukuliwa na Max Verstappen.

Masi amesimamishwa kutokana na maamuzi yake ya kupindisha sheria, ambayo iliwataka madereva wote kuwa nyuma ya gari ya usalama, kabla mbio hizo kuendela kama utaratibu ulivyohitaji.
Badala ya gari zote kuwa nyuma ya gari ya usalama ikuafuatiwa na gari Hamilton, lakini Verstappen alivunja sheria kwa kuzipita gari hizo kwenye mzunguko wa mwisho na kuendelea na mbio kabla ya kuruhusiwa na kumaliza wa kwanza.
Hata hivyo uongozi wa Masi, umekuwa ukilalamikiwa sana na timu shiriki pamoja madereva kwenye mashindano ya mwaka 2021, huku kukiwa na maamuzi ya kutokuridhisha.
Mkurugenzi wa Mercedes Toto Wolff, alihoji kuhusu uongozi wa Masi kwenye fainali hiyo na kuitaka FIA kuweza kuchukua hatua kutokana na kufanya maamuzi mabovu.
Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.