Adama Traore amerudi jijini Barcelona kwa ajiri ya vipimo vya afya siku ya leo Ijumaa ili kukamilisha uhamisho wa mkopo ili kuweza kujiunga na klabu ya hiyo  yenye maskani yake kwenye viunga vya Catalunya.

Winga huyo wa klabu ya Wolves alielekea hospitali ya jijini Barcelona kabla ya kwenda kituo cha Ciutat Esportiva kwa vipimo kadhaa ili kuweza kufanikisha uhamisho na kamalizia kusaini karatasi kadhaa zilizobakia.

Adama Traore, Adama Traore: Nina Furaha Kurudi Barcelona, Meridianbet

Adama Traore alisimamisha na mwanishii  wa kituo cha TV3 na hakuhitaji kueleza kwa kina ila alsema kuwa mipango ya uhamisho wake inaendelea  na alimalizia kusema “Nina furaha ya kurudi Barcelona.”

Barcelona wanatarajia kumtangaza Adama Traore kama usajiri wao mpya wa mwezi January siku ya jumatatu kwenye uwanja wa Camp Nou, Traore anatarajia kuitumika klabu hiyo mpaka mwisho wa msimu, huku kukiwa na kipengere cha kumnunua kabisa kwa kiasi cha €30 million.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa