Dereva wa magari ya mbio za langalanga kutoka kwenye timu Mercedes inayoshiriki mashindano ya F1 Lewis Hamilton ametoa neno baada ya kuwa kimya kwa muda refu.
Hamilton ambaye alikuwa kimya kwa siku 56, pasipo kuongea chochote na waandishi wala kuchapisha chapisho lolote, kwenye mitandao ya kijamii na kuzua taharuki, baada ya kusemekana kuwa anataka kustaafu kutoshindana tena kwenye mashindano ya F1.
Siku ya Jumamosi alichapisha kwenye matandao wa Twitter ujumbe uliosemeka “I’ve been gone. Now I’m back!” huku ukurasa wa Mercedes wakijaribua kushare ujumbe wake na wao kuandika “I’m back.”
Kutokana na kilichotokea kwenye mbio za mwsiho nchini Abu Dhabi kiongozi wa timu ya Mercedes Toto Wolff alinukuliwa aikeleza kuwa, Hamilton alikuwa amekataa tamaa kutokana na kilichotokea kwenye mbio za Abu Dhabi Grand Prix.
Ingawa Hamilton alichapishasho kuwa amerudi, sio uthibitisho wa kuwa atakuwepo kwenye maandalizi ya mazoezi ya mwanzo wa msimu, yatakayofanyika jijini Barcelona kwenye majaribio ya ingini mpya wiki mbili zijazo.
Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.