Mchezaji mpya wa timu ya Rangers Aaron Ramsey kuanza kazi kwenye mchezo wa leo jumapili kwenye ligi kuu ya Scotland dhidi ya Hearts
Mchezaji huyo wa kimatifa kutokea Wales ambaye amesajiriwa na klabu ya Rangers kwa mkopo mapaka mwisho wa msimu akitokea Juventus, siku ya jumatano alishuhudia timu yake ikiadhibiwa na Celtic kwa goli 3-0 kwenye dimba la Celtic Park.
Aaron Ramsey hakuwa anapata nafasi ya mara kwa mara kwenye klabu ya juventus, tokea amejiunga na Ranger amepata nafasi ya kufanya mazoezi ya pamoja na timu, siku ya Ijumaa na kocha wake Giovanni van Bronckhorst amesema kuwa mchezo wa leo atakuwepo kwenye kikosi chake kitachomenyana na Haerts.
“Yuko vizur , ni muda sasa tojea afanye mazoezi pamoja na timu, muda mwingi alikuwa akitumia kufanya mazoezi peke yake, amefanya mazoezi pamoja na timu kwa siku mbili na timu, natumai kwenye mchezo wa Jumapili atakuwepo.” Aalisema Giovanni van Bronckhorst
Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.