Lewis Hamilton na Max Verstappen wanaenda kumaliza msimu ndani ya jiji la Abu Dhabi kwenye falme za kiarabu kwenye mashindano ya mbio za magari za formula 1 wikiendi hii
Awali mahasimu hawa waliingia kwenye ugomvi wa maneno baada ya Verstappen kumshtumu kuwa Hamilton alimfanyia ajari ya maksudi ili aweze kushinda kwenye mbio hizo zilizofanyika kwenye circuit ya Silverstone na Monza kabla ya ajari ya juzi kwenye Saudi Arabian Grand Prix kuacha sintofahamu.

Mahasimu hawa wawili wameshinda mbio 17 kwenye msimu huu huku Verstappen akitaka kuchukua ushindi wa tisa kwa Hamilton na wanane kwa mwaka 2021 mpaka sasa.
Mbio zikazofanyika wikiendi hii jijini Abu Dhabi ndio za mwisho kwenye msimu huu, huku Verstappen anahitaji mzunguko mmoja tu kuongoza ili aweze kushinda wakati Hamilton atajaribu kufanya liwezekanalo ili awezi shinda kwenye fainali hii ya msimu 2021.

Endapo mahasimu hawa wawili wakipata ajari, basi Verstappen atatawazwa kuwa bingwa wa F1 msimu huu lakini alipoulizwa kuhusu ajari kuweza kuamua mshindi Verstappen alijibu, “kama dereva huwezi fikilia kuhusu kitu kama hicho,unakwenda wikiendi ukitaka kuwa bora kadri uwezavyo na bila shika utataka kushinda.”
huku Hamilton yeye alisisitiza kuwa akili yake kwa sasa ni kwenye mbio hizo za mwsho tu hakuna kingine kwa sasa anachofikilia.
Unaweza kujishindia mamilioni katika kasino yako pendwa ya meridianbettz, mchezo wa Agent Jane Blonde Return ni moja ya michezo inayopendwa kwasasa huku ikiwafanya wachezaji kuwa mamilionea kila siku. Unasubiri nini! ungana na Agent Jane Blonde akufanye milionea.
CHEZA HAPA


