F1: Aston Martin Watambulisha Gari Mpya

Timu ya Aston Martin Aramco Cognizant inayoshiriki mashindano ya F1 leo wametambulisha gari yao mpya itakayotumia injini ya AMR22 ambayo watakayoitumia kwenye mashindano ya Formula 1 2022.

Aston Martin ni timu ya tatu kwenye F1 kutambulisha gari yao mpya, watakayoitumia kwenye mbio za 2022, kwa sasa Aston Martin wanajiandaa kuanza majaribio na ukaguzi wa jumla kabla ya msimu kuanza jijini Barcelona.

Aston Martin F1

Baada ya kuwa na msimu mbaya kwenye msimu wa 2021 na walifanikiwa kumaliza nafasi ya saba, huku wakifanya mabadiliko ya gari, Andrew Green Chief Technical Officer, akizumgumzia mwaka 2022 alinukuliwa akisema, “kanuni za mwaka 2022 haziko kama zilivyokuwa hapo awali, kuna miongozo mingi imebadilika, mabadiliko muhimu ni chassis.

“Kanuni mpya za chassis zimetekelezwa, huku kiwa na kiasi kidogo cha imeinuliwa kwa juu kuanzia 2021 mpaka 2022.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.