Manchester United wanajiandaa kumpoteza kiungo wao Paul Pogba bure kwa mara ya pili huku klabu ya Real Madrid, Paris Saint-Germain na Juventus ni miungoni mwa vilabu vinavyopambana kupata siani yake.

Paul Pogba inabidi akubali kupunguza kiasi kikubwa cha mshahara wake, ikiwa atataka kuachana na miamba hiyo ya jijini Manchester ili aweze kurahisisha uhamisho wake, baada ya kuitumikia klabu ya Man Utd kwa miaka sita.

Paul Pogba
Paul Pogba

Lakini mpaka sasa Pogba hajafanya mazungumzo na klabu yeyeto isipokuwa Man Utd kwa ajiri ya kuaongeza mkataba, lakini cha kustaajabisha ni kuwa hatarajii kusaini mkataba mpya na klabu hiyo, na anahitaji kwenda sehemu nyingine.

Real Madrid, Paris Saint-Germain wako kwenye vita ya kuhitaji saini yake lakini klabu ya Juventus inapewa nafasi kubwa sana ya kweza kupata saini yake, ila kwa mshahara wake anaopokea kwa sasa wa £290,000, itakuwa ngumu kwake kujiunga kwasababu mfumo wa sasa wa Juventus hauwezi lipa kiasi hicho kwa wiki.

Juventus wanajiandaa kumuweka sokoni Paulo Dybala kwa sababu ya kiasi cha mshahara anacholipwa kwa wiki £225,000 ni kiasi kikubwa kwa mfumo wa mishahara mipya ndani ya Juventus.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa