“Alichofanya Zouma ni kibaya kuliko ubaguzi wa rangi? hilo ni swali lililoulizwa na Mshambuliaji wa West Ham, Michail Antonio wakati wa mahojiano na wanahabari amehoji kwa nini kuna wito wa mchezaji mwenzake Kurt Zouma kutimuliwa kwa kumpiga teke na kofi paka wakati wanasoka waliopatikana na hatia ya ubaguzi wa rangi bado wanaruhusiwa kucheza.

Zouma anakabiliwa na mzozo mkali wa kumpiga paka teke kwenye jumba lake la kifahari na Antonio alipendekeza hisia za umma zimekuwa kali sana alipozungumza na waandishi wa habari nje ya uwanja wa mazoezi wa West Ham.

Zouma tayari amepoteza dili na Adidas,kampuni ya bima ya maisha ya Vitality ikisimamisha udhamini wao wa pauni 500,000 kwa mwaka na tayari West Ham wali laumiwa kwa uamuzi wao wa kumchezesha Zouma kwenye mechi ya Jumanne usiku ya Ligi Kuu dhidi ya Watford.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa