Anelka: Nadhani Mbappe Atatua Real Madrid

Hatima ya Kylian Mbappe bado inaendelea kuwa ni mjadala mkubwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari na wadau wa soka sasa nguli wa zamani wa Real Madrid Nicolas Anelka amelezea imani yake kwa mshambuliaji wa PSG kwamba ataondoka na kwenda Real Madrid wakati wa majira ya kiangazi.

Anelka: Nadhani Mbappe Atatua Real Madrid

Mkataba wa Mbappe na Paris Saint-Germain unamaliza mwezi Juni lakini pande zote mbili bado hazijafikia makubaliano mapya ya kuongeza dili hiyo na mshambuliaji huyo anatarajia kuwa mchezaji huru.

PSG inatarajia kuwakabili Los Blancos kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa ikiwa ni hatua ya 16 hivyo tutarajie kuona Mbappe akiisumbua ngome ya Madrid na kuwashawishi Mabosi wa Real Madrid kumaliza dili na Mbappe mapema mara baada ya dirisha la usajili kufunguliwa.

Anelka alisema: “Ninachoweza kusema ni kwamba kwa ujumla anataka kuondoka Kama angetaka kubaki, nadhani angesaini kuongeza mkataba mapema. Nadhani atakuwa Real Madrid mwaka ujao.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

Acha ujumbe